Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii kampuni inahitaji maombi tu kuiokoa,ndio maana sishangai inapohangaika na siasa!!, Tuone kama karata ya DAB itaiokoa hii kampuni,anafanya mahojiano jumatatu, Ukiwa na deni na unaigomea...
2 Reactions
120 Replies
12K Views
Japo watanzania tumeambukizwa kutoaminiana ila nina imani wapo wenye mioyo safi! Natafuta mtanzania aliyepo Kampala, nina wazo zuri la biashara kati ya nchi hizi mbili. Kazi yake ni kufanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Bi. Christina Mndeme amevifunga vituo nane vya kuuza mafuta kati ya tisa alivyokagua baada ya kubaini havitumii Mashine za Risiti za Kielektroniki...
3 Reactions
191 Replies
25K Views
Karibuni sana nitakua pale kwa mda mwingi naombeni wasifu wa hio bar ili nijipange kisaikology
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa yote ambao serikali hii inajitahidi kufanya ( ionekane nzuri ) inasikitisha sana kuona wanatumia nguvu nyingi sana kukandamiza upinzani hii inatupa picha kuwa hawajiamini kabisa na...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Arusha. Shehena ya magunia 428 ya dawa za kulevya aina ya bangi imekamatwa katika kitongoji cha Longong, Kijiji cha Engalaoni wilayani Arumeru usiku wa kuamkia jana. Akizungumza leo Jumanne...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Khabari za humu!.. nauliza process na gharama za ufungaji wa luku mpya kwa anayejua na mawasiliano ya mtu anayeweza kufunga luku mpya.. asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni katika JF,japo nimejiunga muda mfupi,nimetambua watanzania si wajinga tena.Ubora na umakini wa mijadala hapa unaonesha wazi kuna kitu kinatokea Tz na katika historia ya mabadiliko hayaJF ni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Serikali imewaagiza waganga wakuu wa wilaya zote nchini ambao wanaendesha zahanati,vituo vya afya pamoja na hospitali ambazo hazina dawa za kuongeza damu kwa akina mama wajawazito waachie ngazi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
..Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na HAKI yake; na hayo yote mtazidishiwa. . . ...Na kazi ya HAKI itakuwa AMANI; na mazao ya HAKI yatakuwa ni UTULIVU na MATUMAINI daima... Ooo, kumbe 'amani na...
2 Reactions
5 Replies
6K Views
Kaniambia kwamba namnukuu " akili ya Bwana Rostam Aziz inaona mbali kama vile macho ya Ndege mwerevu duniani Tai na yanayowatokea Mabwanyenye / Matajiri wengine nchi mbalimbali za Afrika ( ila...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Kitu kimoja magufuli anatakiwa afanye ili aheshimiwe ni awaweke ndani Maraisi wote waliopita. Haiwezekani waziri afanye ufisadi halafu ikulu isijue.mikataba yote ya madini nchini itungwe halafu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo nilishuhudia rais wetu mstaafu jakaya kikwete akihutubia katika misa ya kuaga mwili wa mwansiasa Nicholas biwott nchini kenya. Nimetamani sana jinsi mh jk alivyo mchangamfu kweli maisha...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nimesikitika sana Na chozi lilinitoka... Asubuh nilikwenda katika hospital ya ushiromboj kumpeleka mgonjwa wangu nikakuta hali ya taharuki kwa wauguzi Na wafanyakazi wengine apo hospitalin...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa watu wako Tanzania kutalii, wametokea Kenya ila wanashangaa Tanzania kuzuri zaidi ya Kenya. Sijui safari hii utalii watawatumiaje watu hawa ili kuweza kusafisha nyota ya nchi huko majuu...
7 Reactions
26 Replies
10K Views
Katika hali isiyo ya kawaida kabisa na ambayo imewashtua wengi muda si mrefu waandaaji wa michuano iliyojizolea umaarufu nchini ya Ndondo Cup wametoa taarifa yao kwamba kwa masikitiko makubwa na...
18 Reactions
247 Replies
23K Views
Wanajukwaa. Salamu za jioni,Nina rafiki yangu aishie mwanza anaomba ushauri juu ya tatzo lake nini afanye pengne kwa msaada toka kwenu mkasa wake upo hivi. Trh 21.02.2017 majira ya saa10 na 30...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hii bia matata ya mwendokasi ambayo imekuja kwa kasi ya hatari ndani ya muda mchache na kututeka wadau ghafla imeadimika mtaani. Unaweza ukazunguka zaidi ya bar tani usikute kabisa, Je ni huku...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii nchi Tanzania ni yangu toka kwa mababu na mababu. Wewe kuwa kiongozi haikufanyi niishi jinsi unavyotaka wewe. Heshima nitakupa lakini sio kunipangia maneno ya kuongea.Na haki kutoa mawazo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom