Huku kwetu Serengeti lite zimeadimika

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Hii bia matata ya mwendokasi ambayo imekuja kwa kasi ya hatari ndani ya muda mchache na kututeka wadau ghafla imeadimika mtaani.

Unaweza ukazunguka zaidi ya bar tani usikute kabisa, Je ni huku kwetu tu? Huki kwenu wadau hali ipoje?
 
Daah na maisha haya kuna watu wanazunguka kutafuta bia???Kweli watu hatufanani

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hii bia matata ya mwendokasi ambayo imekuja kwa kasi ya hatari ndani ya muda mchache na kututeka wadau ghafla imeadimika mtaani.

Unaweza ukazunguka zaidi ya bar tani usikute kabisa, Je ni huku kwetu tu? Huki kwenu wadau hali ipoje?
Nasikia kuwa nazo zimefungiwa na TRA kwa maana hazina EFPP.
 
Hii bia matata ya mwendokasi ambayo imekuja kwa kasi ya hatari ndani ya muda mchache na kututeka wadau ghafla imeadimika mtaani.

Unaweza ukazunguka zaidi ya bar tani usikute kabisa, Je ni huku kwetu tu? Huki kwenu wadau hali ipoje?
Upo wapi mkuu?
 
Huko si mnakunywa K Vant na Balimi au?

Nalaani vitendo vya Kinyama vinavyofanyika huko Kibiti-Pwani-Tanzania
 
Hii bia matata ya mwendokasi ambayo imekuja kwa kasi ya hatari ndani ya muda mchache na kututeka wadau ghafla imeadimika mtaani.

Unaweza ukazunguka zaidi ya bar tani usikute kabisa, Je ni huku kwetu tu? Huki kwenu wadau hali ipoje?
Uzalishaji naona haupo vizuri kila sehemu inasumbua mkuu.
 
Castle lager mbili nashushia na jibapa narudi zangu kulala kiroho safi hata kuota ndoto za kuibiwa makinikia hazipo yaani nakuwa naota oda za kwenda kuzibua chemba za maji taka na mitaro kwenye majumba ya watu
 
Me kimachonishangaza ni hizi Serengeti lager za dar unakuta bia imetengenezwa Jana kesho unakunywa kesho kutwa naona kama ladha ni tofauti na za mikoani
 
Acha upotoshaji mkuu. Bia hazijafungiwa na TRA... Huenda Demand imezid Supply ktk eneo alilopo mtoa mada... Huku kwetu zinapatikana kama kawa ila zimeshika mbaya!!!
Mbona umeshtuka kusikia zimefungiwa na TRA? Msijali kimea kimechelewa kuchachuka kwaajili ya hali ya hewa, mpaka mwishoni mwa mwezi huu tutarudi kwenye supply kama kawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom