StarTV hali mbaya; yadaiwa bilioni 4 na TRA, bilioni 28 na KCB bank, bilioni 3.6 na Mkombozi bank!!

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
15,186
25,951
Hii kampuni inahitaji maombi tu kuiokoa,ndio maana sishangai inapohangaika na siasa!!,


Tuone kama karata ya DAB itaiokoa hii kampuni,anafanya mahojiano jumatatu,

Ukiwa na deni na unaigomea taasisi inayokudai lazima iitishe mnada kuuza mali zako,scrach my back!!
IMG_20170521_103737.png
IMG_20170521_103151.png
 
Hii kampuni inahitaji maombi tu kuiokoa,ndio maana sishangai inapohangaika na siasa!!,


Tuone kama karata ya DAB itaiokoa hii kampuni,anafanya mahojiano jumatatu,

Ukiwa na deni na unaigomea taasisi inayokudai lazima iitishe mnada kuuza mali zako,scrach my back!!View attachment 512383 View attachment 512384
Hii yote baada ya kusema kesho Makonda ataweka mbivu ma mbichi??
Watu wa unga lazima mnyooke, kama clouds ni sehemu ya nyinyi huku hamna jinsi modafantaz!
 
Hii ni baada ya Star Tv kutaka kurusha exclusive interview na Bashite, kweli watanzania sio watu wa mchezo maana wanaweza kua wanajua madhaifu yako lakini wakakunyamazia ila ukiingia kwenye anga zao tu umekwisha.

Watanzania wote sio kama Lowassa ambao unaweza kuwasema na kuwatukana na wanajua madhaifu yako bado wakakunyamazia, wengine ukiingia tu kwenye 18 zao wanawewe.

Sasa hii ni kuaibishana, watu wanajifanya matajiri kumbe wanaishi kwenye overdraft, siku benki wakija juu unarudi kwenye mawe.

Ila kwa nini siku hizi watu wamekua wakitoa siri za watu hovyo hovyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom