sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 525
- 184
Hii nchi Tanzania ni yangu toka kwa mababu na mababu. Wewe kuwa kiongozi haikufanyi niishi jinsi unavyotaka wewe.
Heshima nitakupa lakini sio kunipangia maneno ya kuongea.Na haki kutoa mawazo yangu navyojisikia Ila nisimtishie mtu maisha yake.
Ila wewe kwakuwa wewe umekuwa kiongozi unataka unipangie cha kuzungumza, unataka unipangie cha kufanya unachotaka wewe. Niheshimu wewe na Mimi nitakuheshimu sababu duniani walinileta wazazi wangu na mungu.HIVI NANI KATUCHUKULIA DEMOKRASIA YETU TANZANIA.
Sent using Jamii Forums mobile app