Kustaafu bado ukiwa na nguvu

Kustaafu bado ukiwa na nguvu

gmail mkulima

Senior Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
186
Reaction score
114
Leo nilishuhudia rais wetu mstaafu jakaya kikwete akihutubia katika misa ya kuaga mwili wa mwansiasa Nicholas biwott nchini kenya.
Nimetamani sana jinsi mh jk alivyo mchangamfu kweli maisha hayatakiwi kuwa na stress mzee yupo ka vile kijana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmm hata Biwoot amekufa! That man was too dangerous in th era of Moi.
 
Nimeona sura ya Jakaya ikingali bado yenye nuru na bashasha.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Muda wa jk kuka madarakani kama rais ni miaka kumi, mtumishi wa uma hadu 7nastafu una range 45 TO (60-)
JK Ananguvu sababu ya kuish maisha standard inayotakiwa kwani alikuwa hakipata mahitajo yote kwa wakati tofauti na mfanyakazi wa kawaida kama mwalimu, daktari na askari , ambate anafanya kazi lakini kipato chake hakimtimikizii mahitaji muhimu mwisho wa siku anajigeuza kuwa power tiller kwa jembe la mkono nfiyo maana wakidtafu nistres pia kuchekeweshewa kwa mafao yao ni tatizo
 
Back
Top Bottom