Haki huinua taifa; bali dhambi ni aibu ya watu wote

Msengi Kiula

Senior Member
Jan 10, 2008
167
63
..Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na HAKI yake; na hayo yote mtazidishiwa.
.
.
...Na kazi ya HAKI itakuwa AMANI; na mazao ya HAKI yatakuwa ni UTULIVU na MATUMAINI daima...

Ooo, kumbe 'amani na utulivu' ni matokeo...

...Basi, kabla ya mambo yote,nataka DUA, na SALA, na MAOMBEZI, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu WOTE; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya UTULIVU na AMANI katika utauwa wote na USTAHIVU...

...Maombi na maombezi ni jambo jema...

...Dhima/majukumu/wajibu wa mtu kwa TAIFA /YANAYOMZUNGUKA, (kwa lugha rahisi), ni 'tujisehemu' tu (element) ya HAKI!!
Ndiyo maana tunaishi katika mazingira
kwa mfano ya--wizi
--mauaji
---upendo
--ubinafsi
--hila
--nk nk...
Ni yapi yanakupasa?

Pasipo mashauri makusudi hubatilika; Bali kwa wingi wa washauri huthibitika.

Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
"HAKI" ndio msamiati unaokosekana katika dictionary ya mkuu, badala yake tunashuhudia fujo tu. Viongozi wetu wajipe walau muda kidogo wa kusoma na kutafakari Vitabu Vitakatifu.
 
Back
Top Bottom