Tunaweza kuwa Tutakavyo

Tunaweza kuwa Tutakavyo

bartaizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
236
Reaction score
91
Wakati fulani kwa kuwa tumeaminishwa hatuwezi tumeamua kukua tukiamini hivyo na si kuwa hatuwezi isipokuwa tumeamua kuwa watumwa wa fikra tulizojengewa toka awali,

Babaangu aliwahi kuniaminisha vile ilivyo vigumu kuamini hisia zangu ikiwa nitaamini kile nilichoaminishwa awali kama sehemu ya mawazo yangu

Jiulize namna gani tunaamini uzungu ni kufahamu kila kitu ama Mara ngapi vile tulivyo tunaamini kuwa udhaifu wa mtanzania mmoja kama jumla ya madhaifu ya watanzania wote tumejengwa kuwa watumwa wa kufikiri lakini akili nyingi ni kufikiri uzungu kuliko uharisia tunaweza kuwa bora kama tutaamini kuwa tunaweza kufikiri bila ya kuwa na msaada wa MTU mwingine ama fikra za mwingine

Baraka Mwakalundwa
 
Back
Top Bottom