Wapi wanauza Anointing Oil ya Shepherd Bushiri hapa Dar?

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
3,739
Reaction score
2,410
Kichwa cha habari kinahusika. Ndugu yangu anahitaji hayo mafuta. Yeyote anayefahamu wapi yanapatikana naomba anifahamishe.
Natanguliza shukrani
 
Kanisa lake lipo barabarani unapoelekea Makongo juu kupita Chuo Kikuu cha Ardhi, ukiimaliza tu ile barabara ya lami, mbele kidogo unapokata kona upande wa kulia utaona bango lina picha ya huyo bushiri, prophet Engel na Mchungaji wa hilo kanisa, Ingia hapo ila nakupa tahadhali usiyategemee hayo mafuta kukusaidia labda kama unataka kujipaka tu kama glycerine na kujiongezea matatizo zaidi ya uliyo nayo....Kumbuka Ni Yesu Kristo tu ambaye Ukimshika na kufuata maelekezo yake utapata vyote unavyovihitaji..Marko 10:29-30...

Maranatha!
 
Sorry, I'm not religious. Nayahitaji kwa kitu tofauti kabisa.
Asante.
 
  • Thanks
Reactions: ADK
Kichwa cha habari kinahusika. Ndugu yangu anahitaji hayo mafuta. Yeyote anayefahamu wapi yanapatikana naomba anifahamishe.
Natanguliza shukrani
Mmemkumbuka tena babu wa Loliondo?Dah,WaTz bwana,hamchoki tu kuingizwa mkenge.Bushiri si sawa tu na kababu kale ka Loliondo.
 
Ndo maana mnakamamatwa uchi wa mnyama kweupe kwenye ungo....imeandikwa [HASHTAG]#Ole[/HASHTAG] wake amtegemeae Binadamu mwenzake
 
Sorry, I'm not religious. Nayahitaji kwa kitu tofauti kabisa.
Asante.
Sasa wewe kama you're not religious unazani utayapata buguruni? Vitu vingine vinashangaza duniani ukinunua kama mawese hayatakusaidia chochote kanisa halibagui mtu yeyote linapokea kila mtu nenda hauta fukuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa cha habari kinahusika. Ndugu yangu anahitaji hayo mafuta. Yeyote anayefahamu wapi yanapatikana naomba anifahamishe.
Natanguliza shukrani
We kweli mjinga na mshirikina mafuta ya anoiting na unanua......hahahaha umeshawai kujiuliza kuwa kwanini Mungu hakuuzii hiyo pumzi....
Wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom