Ama kweli dunia inaenda kasi,miaka michache tu nyuma hawa Ndugu zetu walioko dar ndio walikuwa wanatutumia fedha sisi mafukara wa mikoani.
Sasa mambo ni tofauti ingawa hali ni ngumu kwa wote,kwa sasa watu wa dar ndio simu haziishi kuomba fedha toka kwa watu wa mikoani.
Ndani ya miezi 3 iliyopita nimeshuhudia simu nyingi sana za maombi ya mshiko toka kwa watu wa dar.
Unajua zamani MTU akishajulikana yuko dar yaani anachukuliwa kama mungu MTU,,ila kwa sasa khali ni tete adi MTU wa dar kumuomba msaada MTU wa kijijini.Wenye huruma zao uku kijijini inabidi wauze kuku/mbuzi kuokoa jahazi kwa kutuma uko dar japo elf 20.