jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
Hebu fikiria unampeleka mama mjamzito hospitali usiku wa saa nane halafu unaambiwa ununue gloves 5 kila moja sh. 2000 na bomba za sindano 3 kila moja sh. 200.
Sasa utaratibu huu ndo unaotumika kila hospitali ama ni kwa baadhi ya hospitali maana hapa sijaelewa. Halafu usiku huo wa saa 8 ukute umempeleka mgonjwa na bahati mbaya hukuwa na pesa usiku huo utafanyaje ama mgonjwa hatahudumiwa?
Vilevile mwingine alileta mtoto usiku huo na kuambiwa anunue oral kwa madai kuwa hawana. Hili sijalielewa vizuri naomba ufafanuzi kwa mwenye kuelewa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app