Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wataalamu wa madini naomben mniambie haya ni aina ya madini Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
3K Views
KIBITI SHWARI, ANAYETAKA NA AENDE – ACP MWAKALUKWA Msemaki wa Jeshi la Polisi, kamishina msaidizi wa Polisi (ACP), Barnabas Mwakalukwa, amesema hali ya usalama katika wilaya za Mkuranga, Kibiti...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania wenzangu na wana JF, Naipenda nchi yangu ila kuna kitu kinanitatiza muda mrefu na kunikera sana. Watanzania tuna tabia kuchangishana michango ya harusi mikubwa mikubwa...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Walianza waarabu wakatupiga bakora, wakatufunga Minyororo wakapiga dili zao wakaondoka. Waliobaki ambao wachache wengi wao ni watanzania wenzetu na wapambanaji katika biashara lkn kwa viwango...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano – Sekta ya Mawasiliano Mhandisi Angelina Madete alipokuwa akifungua warsha kuhusu uanzishwaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali imelifungua tena Gereza la Kitengule lililoko wilayani Karagwe lililofungwa septemba 18, mwaka jana baada ya kubolewa na tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera na kusababisha madhara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Are we there yet? PayPal Chief Executive Officer Dan Schulman is looking for new customers in Vodafone’s 454 million users and America Movil’s 286 million subscribers. Schulman is scheduled to...
2 Reactions
4 Replies
771 Views
Leo nimetembelewa na rafiki yangu kipenzi Zurie, amenikumbusha kisa kitamu sana cha Karume Kenge. Ni wangapi mlikisoma hiki? Tukumbushane mafunzo yake humu.
6 Reactions
20 Replies
12K Views
Tanzania imetajwa kuwa kivutio kizuri cha safari za watalii Barani Afrika kwa mujibu mtandao wa Safari Bookings.com ambao ndio mtandao mkubwa wa ukuzaji wa safari za Afrika. Mtandao huo ulifanya...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari za mida wakuu, Najiuliza tangu juzi kumekuwa mtandao wa simu kwenye upande wa internet kuwa slow maana nna line 3 za simu tofauti na mara nyingi nakuwaga katikati ya mji so huwa natumia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wanajanvi. Mara nyingi nimekua nikifuatilia Formula mbalimbali zinazotumiwa na wanasiasa mbalimbali hususani katika kipindi hiki kigumu cha hali ya kisiasa nchini japo nipo nje ya...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Labda leo nijiulize kwenu wadau,maana halisi ya kuandika jina unapotoa mchango wa msiba...nawaza jina linaandikwa ili kiwe nini,kwamba ulikuwepo au kuna mahali waliotoa wanaandikwa kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hello JF Leo nimejiuliza, yale magari yanayonyonya choo/karo huwa wanapeleka wapi?lol u Nimeona nchi moja haina huo utaratibu, sijajua wanafanyaje ila mambo yote chini kwa chini lol Kwa nini na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau.. Kiukweli TBC imerudi nyuma sana kwa maoni yangu.. sio ile TBC ya tunaangalia hadi EPL, sio ile ya kuangalia vipindi vya kisasa kwa Quality ya kisasa.. TBC ilikuwa hadi na midahalo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mahakama kuu nchini Tanzania imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania Tigo kupinga kuwalipa wasanii AY na Mwana FA bilioni 2.185 kwa kutumia nyimbo zao bila...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwana JF Naomba kuuliza kama kuna mtu Mwenye kujua hili. Ninayo IMEI namba ya simu. Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
119 Replies
11K Views
Kwa nini nasema hivyo tumeshachoka kutembea kwa miguu endapo gari moja tu likileta itilafu kipande kisichozidi kilometa tatu Hapo tena ujue fuleni kuanzia a) zakiemu mpaka hapo tanita b) mwandege...
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Back
Top Bottom