EWURA mko wapi: Baadhi ya vituo vimepandisha bei ya mafuta

EWURA mko wapi: Baadhi ya vituo vimepandisha bei ya mafuta

girgirmo

Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
44
Reaction score
32
Ni jambo la kusikitisha sana baadhi ya sheli ndani ya wilaya ya hanang wanauza mafuta ya petroli tofauti na bei elekezi ya EWURA. Bei elekezi ya EWURA ina sema mafuta ya petroli ni shs 2147 sasa huku c.m.s kwa sheli moja inauzwa shs 2247 na hakubali akukatie risiti. ukidai risiti anakuambia ukanunue kwingine. Taarifa kutoka kwa muuzzaji wa mafuta anasema kuwa bosi wake amegoma kurekebisha bei. EWURA mpo wapi?
 
Jambo zuri fatilia katika ofisi ya mkurugenzi hapo chap utapewa mawasiliano ya EWURA utatoa dukuduku lako pia hili la risiti ndo baya zaidi manake anatuibia pesa zeru ambazo ni za road License ambazo zilitakiwa zikatengeneze mabarabara,mashule na kutuletea maendeleo watanzania sasa yeye ataki kutoa risiti ili atuibie usikubali kiongozi fatilia ilo tuwezw kuleta maendeleo ya taifa letu kwa pamoja
 
Hanangi kuna Petro station ngapi? kama sijakosea ziko 3 labda zimeongezeka juzi kati.

Google website ya EWURA utapata namba yao. pia Wapigie TRA kuhusu swala la risiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom