Gari zinazoharibia Barabarani Ziwe Zinaondolewa Mara Moja

Gari zinazoharibia Barabarani Ziwe Zinaondolewa Mara Moja

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,437
Reaction score
4,791
Kumekuwa na tabia ya gari hususani zile za mizigo pindi zinapoharibika kuegeshwa ndani ya barabara au pembezoni mwa barabara. Gari hizi zimekuwa zikikaa bararani kwa masaa mengi hadi wiki kadhaa na hivyo kuwa chanzo cha ajali.

Bahati mbaya sana, gari hizi pia zimekuwa zinahatarisha pia misafara ya viongozi.

Hivi kwanini gari inaruhusiwa ikae masaa hadi wiki ikiwa ndani ya barabara?
 
Bahati mbaya sana, gari hizi pia zimekuwa zinahatarisha pia misafara ya viongozi.

Hivi kwanini gari inaruhusiwa ikae masaa hadi wiki ikiwa ndani ya barabara?


Looks like kuna kitengo kimelala usingizi wa pono
 
Back
Top Bottom