Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pua mbili za mbwa mwenye jina la Toby kama anavyooneakana. HAYA tunaweza kusema ni maajabu ya dunia, kwa uharisia ni mara chache sana kuona mnyama ambaye viungo vyake vinaonekana kuwa tofauti na...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Wadau, Wote macho na masikio Yetu tulimsikia raisi akiongea kuwa ataboresha maslahi ya wafanyakazi ikiwemo nyongeza Na promotio lakini hatimaye pia mwezi huu wa Saba hakuna kitu. (penati ya...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa muda sasa tangia Magufuli aingie madarakani.kumekuwepo na wimbo maarufu "Magufuli kabana". Ila kwa mshangao wawengi kuna baadhi ya watu mambo yao ni super.Miongoni mwao yupo jirani yangu...
1 Reactions
2 Replies
676 Views
  • Closed
Hivi karibu kumekuwa na uvumi ulipo kwa macho kwa yule binadamu kama wewe kujiita MTUME.. Leo tarehe 18 mwezi huu wa 7.. Bakwata wametoa tamko kali kwa huyo anaye wadanganya watu kuwa yeye ndo...
1 Reactions
366 Replies
47K Views
Kuna mkuu alishawahi weka thread ya kulalamikia ufinyu wa daraja la wami na hatare yake humu... Nimetoka kupita sasa ivi roli zima zima likiwa na tela lake limevunja kingo za daraja na kutumbukia...
10 Reactions
66 Replies
7K Views
Ushauri wenu wandugu leseni yangu ni class C1,C2,C3 sina C plain kwa ajili ya mabasi ya abilia60 na zaidi.nilianza na Class D baada ya miaka mi3 ndio nikapata class C. NATAKA NIKASOME DRIVING VETA...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
HABARI NI MUDA SASA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI KUPANDISHWA VYEO WANASUBIRI KWA HAMU. WENGI WALIJIPA MOYO MWEZI HUU WA SABA MAMBO LABDA YATASOMA LAKINI HAMAD MWEZI UMEFIKA SALARY IPO VILEVILE...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Nikiangali trend au data za bei ya mafuta machafu kwa pipa moja au Crude oil kwa barrel toka mwaka 2008 mpaka leo nilitegemea leo hii bei ya mafuta iwe chini sana. Mwaka 2008....$ 131 Mwaka...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Chama Cha Wamiliki Na Waendeshaji wa Vituo Vya Mafuta ya Rejareja Tanzania (TAPSOA), Kinapenda kuunga mkono tamko la Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli la 19 Julai 2017 kuwa ndani ya siku 14...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati ulimwengu ukizizima kwa ulimbukeni wa mavazi niliamini watu wengi wataishi watakavyo kuliko wasivyo huenda niliamini hivyo kwakuzani kila mwanadam anafikra huru, kumbe wengine ni watumwa wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Husika na mada tajwa hapo juu Wakuu kuna rafiki angu alipanga nyumba flani ambayo akiishi na wapangaji wanafunzi Mwenyenyumba kazinguliwa na MTU aliemuachia madaraka ya kusimamia hiyo nyumba...
0 Reactions
3 Replies
958 Views
Nakumbuka pale mzumbe sekondari tulikuwa na shujaa mmoja simtaji jina. Alivuma sana na kupendwa na wanafunzi wote. Ushuja wake ulitokana na kutoroka shule bila ya kukamatwa. Kubishia walimu. Na...
1 Reactions
5 Replies
998 Views
Wakuu wengine washapigwa Wengine ndo wanaanza Wengine wanatafakari Kuingia kwenye makampuni lukuki ya kutafuta hela mtandaoni Mengine yanakuja kama kubadilishana fedha na kupata faida na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu, Kwanza nalipa pongezi jeshi la Polisi kwa kazi kubwa ambayo wanafanya haswa kitengo cha usalama barabarani kwa kazi kubwa mnayofanya. Pili ningependa kutoa ushauri kwa...
0 Reactions
7 Replies
766 Views
Habari zenu wadau... Mimi ni mmiliki wa gari ya abiria na pia ni konda wa gari yangu. nafanya route kutoka sehemu moja mkoani mwanza. Kinachonipa shida ni hawa askari wa barabarani, wanatusumbua...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Zinajulikana pia kama kama TV za kichawi, unamuona kabisa mbaya wako live kabisa akifanya ayafanyayo... TV hizi asilia kifaa chake Mara nyingi ni dishi,beseni au bakuli la maji....kupitia humo...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Wasaalam, Your enemy today can be your savior tomorrow! Jamani tusambaze upendo pamoja na uzalendo kwa inchi yetu. Wote tunaotawala na tunaotawaliwa. Hakuna hajuae kesho ila ni Mungu tu. bali...
0 Reactions
6 Replies
928 Views
Pesa zilipofika nyumbani kwake ambapo ni Bank na sio kwenye makaburi wala ghala mahala alikozihifadhia :jarida maarufu linalotoa orodha ya matajiri bora duniani Forbes , Mwaka1987 , 1989 na...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa miaka mingi mfumo wa elimu nchini umekuwa ukifanyiwa mapitio na marekebisho yanayolenga kuboresha kutokana na ukweli kwamba haijakidhi matarajio ya wengi. Ukiangalia matokeo ya kidato cha...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Naulizia aina ya hili jiwe, linafanana sana na zile gololi wanazochezea watoto, ingawa ni jiwe lililotoka mgodini kabisa. Naombeni msaada wakuu.
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…