Katazo la viroba lilivyo waneemesha wauza gongo!!!

Katazo la viroba lilivyo waneemesha wauza gongo!!!

Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
2,903
Reaction score
4,357
Kwa muda sasa tangia Magufuli aingie madarakani.kumekuwepo na wimbo maarufu "Magufuli kabana".

Ila kwa mshangao wawengi kuna baadhi ya watu mambo yao ni super.Miongoni mwao yupo jirani yangu, juzi nilikwenda kumjulia hali na kumuuliza siri ya mafanikio.

Maana yeye mtaani ni maarufu kwa kuuza gongo lakini hakuwa na mafanikio ya kutisha kama ilivyo sasa.

Ndo akaning'ata sikio kuwa bihashara ya pombe haramu gongo imetamalaki kwa sasa tangia viroba viadimike mtaani.saivi kipimo kimepanda chupa ya nusu lit 1000 kutoka 500.

Pia kutokana na hali ngumu ya maisha gongo imekuwa kimbilio la watu wenye kipato cha chini.hivyo basi anatoa shukrani za kipeke kwa wahusika kwa kuvifungia viroba.

Maana amenunua viwanja 2 ,ana noah kwa ajili ya kubebea mzigo,amemalizia nyumba yake .na watoto wamehama st kayumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom