Za mida hii wana ndugu!
Bila ya kuwachosha, tuliambiwa mwezi huu MTU atakayekuwa amebaki mjini yeye ni Ngangari.
Nachelea kuuliza hivi aliyetoa kauli hii yupo mjini kweli???
Nitafurahi kujuzwa...
Hivi karibuni mheshimiwa ametembelea mikoa kadhaa na kuweka mawe ya msingi katika miradi kadhaa. Kilichowashangaza wengi miradi hiyo ilianza mingi wakati wa serikali ya awamu ya tatu, nne na...
Eti haya majina ya nchi kwa Kiswahili kwa mfano Egypt kuitwa Misri au Portugal kuitwa Ureno yalitokana na nini i.e nani aliyatunga na je wenyewe wanajua kama tunawaita hivyo?
Inapiganwa wapi hii vita? nataka kujiunga ili na Mimi nitoke kimaisha.
Sasa kinachonitatanisha Nikae upande upi? Wa wenye nazo au upande Wa wasionacho? Upande Wa wenye nacho Hawana maneno wao...
Akikagua miradi ya ujenzi wa mabwawa ya maji mkoani Tanga kiongozi wa mkoa huo ameshindwa kutafsiri kirefu cha CRB na kuiita ni ....construction registration board... [emoji16][emoji16][emoji16]...
Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani imezindua visima vitano virefu vyenye thamani ya zaidi ya milioni hamsini vilivyotolewa msaada na ubalozi wa Kuwait nchini.
Visima hivyo vitano...
Hii taasisi ilizinduliwa kwa mbwembwe nyiingi hivi imeishia wapi ofisi zao ziko wapi?
Wameshaanzisha miradi mingapi? Imejikita katika maeneo au nchi zipi?
Labda nyie wana bodi mna taarifa.
Habari wanaJF,
Ni jambo la kusikitisha sana lililotokea na linaloendelea kutokea ndani ya mji mdogo wa Katesh kuhusu malipo ya pango la ardhi. Kuna baadhi ya watu hawadaiwi lakini wamebambikiziwa...
KAMPUNI ya Ndege ya Fastjet imenunua hakimiliki zote kutoka kwa kampuni mwenza ya Easyjet kuanzia Juni mwaka huu kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 2.5 (Sh bilioni 5.25).
Akitangaza kuhusu...
Kumekuwa na ubishanikubwa sana africa mashariki kuhusu hizi national park huku kenya wakudai masai mara ndo namba 1, wengine wa tz wakisema Serengeti ndio namba 1, watanzania wa arusha wao...
Nimeguswa mara nyingi kuzungumzia juu ya viongozi wa makanisa yanapogeuza dini kuwa biashara ya kuleta utajiri kwa kutumia jina la Yesu kwa kufanya usanii tu kudanganya Watu.
Pamoja na Biblia...
Jamani ndugu zanguni hivi ni sawa kwa askari kutumia gari yake binafsi kwa kazi za serikali hasa askari wa usalama barabarani?.
Nani ananunua mafuta hayo wakati huo?. Kibaya zaidi kwa sasa...
Watu wana furaha mahakamani kama wako kwenye mnada wa ng'ombe. Mtuhumiwa wa kesi ya kitaifa kapanda pick up? Kelele ndani ya mahakama, simu na makamera. Mtuhumiwa kavaa tisheti. Marekani hata...
Kama kichwa cha habari kinavyosema Shule ya msingi Malungu wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma Songea Tanzania inakabiliwa na changa moto ya waalimu,
Ina wanafunzi 445 lakini waalimu wanaofundisha...
WanaJF, salaamu.
Nilitaka kununua king'amuzi cha continental, ila nimeghaili baada ya kuona watu wengi wanakipaka mbovu kuwa ni king'amuzi cha hovyo hovyo to the fullest! japo kinasifika kwa HD...
MCHELE WA PLASTIKI; AFRICA'S SOCIAL MEDIA HOAX
Mchele wa Plastic, ni uzushi wa mitandao ya kijamii/social media illusion. Habari hizi zimefika Africa miaka miwili au mitatu nyuma lakini kwa Ulaya...
Katika hali inayo tia moyo na kuhamasisha watu kutoa maoni yao ili kuishauri serikali, ni pale ambapo ushauri utazingatiwa na kufanyiwa kazi japo Kwa majaribio! Mkuu Wa wilaya umetupa moyo na...
Tulikuwa tunajadili hapa, unajua kuna watu wameumbwa na roho mbaya ajabu, wakikuona unaumia, unapata shida, huna kazi, huna pa kwenda, unapigwa etc, wanafurahi yaani roho yao hapo ndio ina furaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.