Zuku Tanzania wana 'HD' Decoder ?

Zuku Tanzania wana 'HD' Decoder ?

Kaveli

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
5,479
Reaction score
9,020
WanaJF, salaamu.

Nilitaka kununua king'amuzi cha continental, ila nimeghaili baada ya kuona watu wengi wanakipaka mbovu kuwa ni king'amuzi cha hovyo hovyo to the fullest! japo kinasifika kwa HD visual.

Sasa nafikiria kuchukua ZUKU. Ila nimefanya kauchunguzi kidogo kwa watu wanaotumia zuku nikaona quality ya picha sio nzuri kiviile, yani visual sio HD kabisa ! picha zimefifia fulani hivi.

Naomba kuuliza... hawa ZUKU Tanzania wana decoder ambazo ni HD ?
Maana ukicheki website ya Zuku kenya, wana HD Pvr decoder inaitwa ''Zuku Navigator''. Lakini kwenye website ya Zuku Tanzania, hiyo decoder haipo, na hawajasema decoders zao hapa Tz ni HD ama la.

Naombeni mnifahamishe.

-Kaveli-
 
Watumiaji wa Zuku... tupeni uzoefu wenu.

Sikushauri kutumia Zuku,mimi ni mtumiaji wa Zuku lakini ninajutia maamuzi yangu kuwa mteja wao,vipindi hasa movies zinarudiwa rudiwa,yaani hamna kipindi kinachorushwa na katika chanel za Zuku ambacho sijawahi kukiona,haina tofauti na mtu anayeangalia dvd.zuku action,zuku max,zuku family ndo shida kabisaa
 
Daah shukrani Kiongozi kwa kushea nasi. Afu nami ni mpenzi sana wa action Movies, nikadhania labda Zuku kiko poa kwa movies. Kumbe majanga!
Continental nacho inasemekana ni worse.

Njia panda sasa.

-Kaveli-
 
Mkuu Idimi, karibu hapa kaka utie neno.

-Kaveli-
 
Sikushauri kutumia Zuku,mimi ni mtumiaji wa Zuku lakini ninajutia maamuzi yangu kuwa mteja wao,vipindi hasa movies zinarudiwa rudiwa,yaani hamna kipindi kinachorushwa na katika chanel za Zuku ambacho sijawahi kukiona,haina tofauti na mtu anayeangalia dvd.zuku action,zuku max,zuku family ndo shida kabisaa

Lakini vipi kuhusu ubora wa picha?

-Kaveli-
 
Startimes wako poa sana kwa HD quality

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli mkuu. Mie nimechukua jana startimes ya Dish... kwakweli ni HD kabisa, picture quality imeniridhisha kabisa.
Ila kwa action movies... hawana movies za kiamerika/kizungu. Movies za kungfu (chinese) ndiyo kwa wingi.

-Kaveli-
 
Iv kisimbuz cha startimes n bei ganii

Kuna BEI aina mbili...

=> Tsh 78,000 (Kifurushi kikiisha, na local chanels za nyumbani zote zinakata pia!)
=> Tsh 143,000 (Kifurushi kikiisha, local channels za nyumbani zinaonesha siku zote bila kikomo hata usipolipia)

BEI hizo zinaapply kwa decoder zote mbili, i.e cha Dish ama cha Antenna.

N.B: BEI hizo ni kwa Moshi mjini, at Star Times office.

Hiyo ndiyo BEI ya kisimbusi cha StarTimes kwa Moshi, mpaka jana 24 July 2017.

-Kaveli-
 
Ni kweli mkuu. Mie nimechukua jana startimes ya Dish... kwakweli ni HD kabisa, picture quality imeniridhisha kabisa.
Ila kwa action movies... hawana movies za kiamerika/kizungu. Movies za kungfu (chinese) ndiyo kwa wingi.

-Kaveli-
Channel namba 100.star movie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
89,000.labda ipande hivi karibuni.

Back
Top Bottom