Askari wa usalama barabarani wana tochi binafsi

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
5,159
5,399
Jamani ndugu zanguni hivi ni sawa kwa askari kutumia gari yake binafsi kwa kazi za serikali hasa askari wa usalama barabarani?.
Nani ananunua mafuta hayo wakati huo?. Kibaya zaidi kwa sasa maaskari barabarani wananunua tochi zao kwa gharama kubwa na kuitumia barabarani kama mradi huku mgao ukitembea mpaka kwa wakubwa wao wengine. Hivi tochi zinazonunuliwa hazisajiliwi na kuwa coded na kuweka utaratibu mzuri kuwabana hawa askari wanaopoteza maslahi ya mapato kwa manufaa yao?.
Ni vema askari waheshimu sheria za kazi waliyochagua wenyewe. Mikoa ya bukoba na huko kanda ya ziwa ndiko nilikobaini haya mambo. Wahusika fuatilieni ina maana hali hii ipo nchi nzima siyo tunakaa kuumizana kumbe mapato yenyewe yanaishia kwa watu wachache tu.
Tunaumizana mno.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Well said mkuu..inabidi wahusik wafuatilie hiyo ishu kama kuna ushahidi ili nchi isipoteze mapato
 
Hii tetesi nilishaisikia, sasa naanza kuamini huenda nikweli.
 
Jamani ndugu zanguni hivi ni sawa kwa askari kutumia gari yake binafsi kwa kazi za serikali hasa askari wa usalama barabarani?.
Nani ananunua mafuta hayo wakati huo?. Kibaya zaidi kwa sasa maaskari barabarani wananunua tochi zao kwa gharama kubwa na kuitumia barabarani kama mradi huku mgao ukitembea mpaka kwa wakubwa wao wengine. Hivi tochi zinazonunuliwa hazisajiliwi na kuwa coded na kuweka utaratibu mzuri kuwabana hawa askari wanaopoteza maslahi ya mapato kwa manufaa yao?.
Ni vema askari waheshimu sheria za kazi waliyochagua wenyewe. Mikoa ya bukoba na huko kanda ya ziwa ndiko nilikobaini haya mambo. Wahusika fuatilieni ina maana hali hii ipo nchi nzima siyo tunakaa kuumizana kumbe mapato yenyewe yanaishia kwa watu wachache tu.
Tunaumizana mno.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Mkuu pamoja na kupigwa na hao jamaa naomba nikupe tu taarifa kwamba Bukoba ni Wilaya na sio Mkoa.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Jamani ndugu zanguni hivi ni sawa kwa askari kutumia gari yake binafsi kwa kazi za serikali hasa askari wa usalama barabarani?.
Nani ananunua mafuta hayo wakati huo?. Kibaya zaidi kwa sasa maaskari barabarani wananunua tochi zao kwa gharama kubwa na kuitumia barabarani kama mradi huku mgao ukitembea mpaka kwa wakubwa wao wengine. Hivi tochi zinazonunuliwa hazisajiliwi na kuwa coded na kuweka utaratibu mzuri kuwabana hawa askari wanaopoteza maslahi ya mapato kwa manufaa yao?.
Ni vema askari waheshimu sheria za kazi waliyochagua wenyewe. Mikoa ya bukoba na huko kanda ya ziwa ndiko nilikobaini haya mambo. Wahusika fuatilieni ina maana hali hii ipo nchi nzima siyo tunakaa kuumizana kumbe mapato yenyewe yanaishia kwa watu wachache tu.
Tunaumizana mno.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Pole mkuu dawa yao ni kufuata sheria tu, ukiona kibao au sehemu ya makazi ya watu wewe tembea speed 30 km/hr hakuna askari atakayekusumbua.
 
Jamani ndugu zanguni hivi ni sawa kwa askari kutumia gari yake binafsi kwa kazi za serikali hasa askari wa usalama barabarani?.
Nani ananunua mafuta hayo wakati huo?. Kibaya zaidi kwa sasa maaskari barabarani wananunua tochi zao kwa gharama kubwa na kuitumia barabarani kama mradi huku mgao ukitembea mpaka kwa wakubwa wao wengine. Hivi tochi zinazonunuliwa hazisajiliwi na kuwa coded na kuweka utaratibu mzuri kuwabana hawa askari wanaopoteza maslahi ya mapato kwa manufaa yao?.
Ni vema askari waheshimu sheria za kazi waliyochagua wenyewe. Mikoa ya bukoba na huko kanda ya ziwa ndiko nilikobaini haya mambo. Wahusika fuatilieni ina maana hali hii ipo nchi nzima siyo tunakaa kuumizana kumbe mapato yenyewe yanaishia kwa watu wachache tu.
Tunaumizana mno.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mhalifu barabarani ndo maana kila siku unazusha.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
siku hizi vitendea kazi viko vingi sana...

unashangaa tochi kila mtu anayo... njoo dar uwaone na vile vimashine vyao vya kuandikia hadi mapolisi wa kawaida sio trafik unakuta nae anacho
 
Wewe ni mhalifu barabarani ndo maana kila siku unazusha.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Hili ndiyo tatizo la watz. Badala ya kujadili tatizo unaanza kumjadili mleta post. Makosa ni mengi mno kwanza licha ya kununua tochi kwa gharama kubwa wazitumie kwa manufaa binafsi wanatoa faini ukiwadai listi wanakwambia wewe ondoka listi hatuna au utapitia huku wakijua hutarudi huko tena. Mapato ya nchi yanapotea kwa njia nyingi sana ila aakari barabarani ni keep mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom