Katika hali inayo tia moyo na kuhamasisha watu kutoa maoni yao ili kuishauri serikali, ni pale ambapo ushauri utazingatiwa na kufanyiwa kazi japo Kwa majaribio! Mkuu Wa wilaya umetupa moyo na kurejesha hadhi ya JF kama jukwaa la GT. Naomba na vingozi wengine muige mfano huu,
"Mkuu Wa wilaya ya mbulu, Chelestino Mofuga, Amezindua Kampeni ya kuwapima Mimba wanafunzi mashuleni, katika kampeni hiyo, mkuu huyo Wa wilaya amewataka wakuu Wa shule na wakurugenzi kuwapima wanafunzi mimba kila baada ya miezi mitatu Kwa kutumia ma-nurse na wataalam Wa afya.(chanzo - mwananchi).
Inakaribia mwaka sasa Tangu wana-JF tushauri hayo yazingatiwe ili kutokomeza mimba za watoto wetu!
Serikali ifanye haya kutokomeza mimba za utotoni. Kuwafunga watu miaka 30 siyo suluhisho
***********************************