RC wa Tanga ashindwa kutafsiri CRB

RC wa Tanga ashindwa kutafsiri CRB

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,250
Reaction score
98,243
Akikagua miradi ya ujenzi wa mabwawa ya maji mkoani Tanga kiongozi wa mkoa huo ameshindwa kutafsiri kirefu cha CRB na kuiita ni ....construction registration board... [emoji16][emoji16][emoji16] badala ya contractor registration board..mwendo kasiii

In God we trust
 
Ukuwaelewa twaweza??

sent from my iPhone 6
 
Akikagua miradi ya ujenzi wa mabwawa ya maji mkoani Tanga kiongozi wa mkoa huo ameshindwa kutafsiri kirefu cha CRB na kuiita ni ....construction registration board... [emoji16][emoji16][emoji16] badala ya contractor registration board..mwendo kasiii

In God we trust
Inatosha ajue kusoma na kuandika!! Hata akitukana badala ya Tanzania Electric Supply Company Limited akasema Tanzania Erection Supply Limites si neno.
 
Akikagua miradi ya ujenzi wa mabwawa ya maji mkoani Tanga kiongozi wa mkoa huo ameshindwa kutafsiri kirefu cha CRB na kuiita ni ....construction registration board... [emoji16][emoji16][emoji16] badala ya contractor registration board..mwendo kasiii

In God we trust

Itakuwa kuteleza kwa ulimi tu

Waswahili tunapenda kufuatilia mambo ya kipuuzi
Na kuachana na mambo ya msingi
 
Ndo mada gani unazileta hapa? We hujawahi kukosea? Nyie ndo mnaoamini mtanzania akikosea kiswahili ni kawaida ila akikosea kiingereza hana akili. Acha utumwa wa mawazo.
Kwa post yako hii unajionyesha kuwa wewe ni Bashite

In God we trust
 
Back
Top Bottom