Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naangalia documentary ya mashujaa hapa naona mmeziba hiyo video na nembo yenu mpaka haionekani vizuri,na ukizingatia video hii ya zamani picha Zane hazina ubora mbona sio nyinyi wa kwanza...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Huwa najiuliza mashujaa tunaowakumbuka ktk siku hii ni wale wa vita ya kagera pekee,MBNA hawatupi historia za majimaji,mkwawa,na hats wale walioshiriki ktk ukombozi wa kusini mwa afrika..... Sent...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Chama cha Walemavu Tanzania (CHAWATA) imemuomba Rais John Magufuli kurasimisha shughuli ya usafirishaji abiria kwa kutumia Bajaji, kuwa ya walemavu pekee, ili kundi hilo liweze kujikwamua kiuchumi...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Nimejaribu kupiga 100 ila sijafanikiwa, kama yupo kwenye namba tofauti na hiyo au namna yeyote naomba anisaidie Jitu jeusi is system developer & programmer, Mungu anatupenda sote
2 Reactions
16 Replies
9K Views
Kwanzia Mwaka 2001 Tundu Lissu Amekua Akikamatwa Kwa Kosa La "Uchochezi" Lakini Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia !! Leo walioitwa Tumbili wameitwa Wazalendo muda ukifika wanaoitwa Wachochezi...
0 Reactions
5 Replies
996 Views
Naona mitandao iko sluggish, it might be true Chinese are on duty as speculated in various social media networks!
0 Reactions
2 Replies
628 Views
Wanabodi Baada ya katazo la wahariri kurusha habari zote za RC wa Dar Mh Paul Makonda imeonekana wazi channel 10,efm na sahara media group kupitia star tv wamekyuka agizo la bodi ya wahariri! Na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nawasalim sana wakuu, Nashukuru sana kupata nafasi ya kuandika angalau kiduchu... Kimsingi nimefurahishwa na movie inayoendelea kati ya TCU na Vyuo vikuu na mifumo ya kudahili wanachuo vyuoni. TCU...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kila mmoja kwa nafasi yake. Sema hili deni letu tulifanyie nini la muhimu katika nchi yetu. Ili kila mwananchi aweze kunufaika nalo. Mie...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Uzalendo wautoe wapi?? Waliowengi uwizi wao huanzia kwenye sanduku la kura sasa tunatarajia wawe ni watu wenye kutenda haki au kutetea maslahi ya taifa ?? Uzalendo hukosekana tangu kwenye...
1 Reactions
0 Replies
810 Views
Nimeona StarTv wamerudi hewani baada ya kufungiwa na TRA kwa kushindwa kulipa deni la kodi la bilioni 4 na nukta kadhaa Diallo aliambiwa alipe angalau bil.2 akashindwa Sasa nauliza hizo B 2...
1 Reactions
4 Replies
893 Views
Hivi TANESCO wana tofauti gani na mamantilie anayeuza chakula na ana duka la mafusuria? Ukienda kusema, “Nipe wali samaki,” Anakwambia, “Nunua sufuria nikupikie” Unanunua, anapika, anakutengea...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Nikiwa katika halmashaur ya Bukoba vijijini nimekutana na migongano baina ya wanakijiji na uongozi wa shule ya msingi Kilaini, wakiwa wanazozana juu ya hatima ya wanafunzi wawili wakike...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Aliekuwa mkuu wa shule ya secondary Mkwese ilioko Manyoni Mkoani Singida, Rashidy Dia Kiya ametutoka Amefariki leo usiku dar er salaam katika hospitali ya hindu mandary tuko hapa kwa utaratibu wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Huyu ni mkurugenzi mtendaji wa Itv/Radio One, ni Mama shupavu, jasiri na mwenye uthubutu ambapo kwa miaka zaidi 15 amezisimamia taasisi hizi kwa kuwa na vipindi imara vyenye kuleta tija ya...
12 Reactions
39 Replies
5K Views
Jerusalem. Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Hebrew-Hadassah Braun, cha Jerusalem umebaini kuwa kiwango cha mbegu za kiume kwa wanaume duniani kimepungua kwa zaidi ya asilimia 50. Utafiti...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Pana msemo 'siku njema huonekana asubuhi'. Ki ukweli tangazo la king'amuzi cha 'continental' ni hovyo hovyo kabisa, sijui walioliandaa hawalisikii au vipi? Hebu wajaribu kusikiliza/wajifunze jinsi...
3 Reactions
134 Replies
16K Views
Dar es Salaam. Tanzania imeshika nafasi ya tatu kati ya wapokeaji wakubwa wa misaada ya Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (Jica) miongoni mwa nchi zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sioux City. Majeruhi wa Lucky Vincent, Saidia Ismail na Wilson Elipokea, wanatarajia kurudi nchini Agosti 18 baada ya kukamilisha matibabu yao yote nchini Marekani. Majeruhi mwingine, Doreen...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom