Hivi nani aliyekimbia mjini ?

ALLEX

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
2,006
343
Za mida hii wana ndugu!
Bila ya kuwachosha, tuliambiwa mwezi huu MTU atakayekuwa amebaki mjini yeye ni Ngangari.
Nachelea kuuliza hivi aliyetoa kauli hii yupo mjini kweli???

Nitafurahi kujuzwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom