Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

4 Reactions
13 Replies
2K Views
Milioni tano ukiongeza sifuri ni milioni 50. Watu milioni tano wakilipa kodi ya mji sh 10 kwa mwezi ni milioni 50. Je wakilipa mia kwa mwezi? Watafikisha milioni 500. Milioni mia tano kwa...
1 Reactions
67 Replies
5K Views
Habari wana JF, Leo katika pita pita zangu nimedondokea airport.. Parking ni shida, magari mengi sana hata sehem ya kupark ni finyu, kilichonishtua Katika ulipaji wa parking bei ni ya juu kidogo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mh. Magufuli na wana JF habari za kazi? Rejea kichwa cha habari hapo juu....chahusu kuwahimiza wanafunzi vyuoni kudesa. Wandugu suala la kudesa ndo kila kitu ulimwenguni. Mimi nimesoma chuo kikuu...
1 Reactions
3 Replies
690 Views
Katika siku niliyopata stress ni leo. Jana nimepika zangu nyama roast nusu kilo nimeipiga nikabakisha kiasi. Hii kama akiba ya leo tena. Saizi naingia ndani nawasha taa hapa naona mstari mweusi...
12 Reactions
96 Replies
22K Views
Straight to the point Huko Acacia walipotinga yaani hiyo mahakama ya biashara jijin london kiboko yao ni wale wabunge watatu wazalendo, Goodluck,kibajaji na msukuma. Kibajaji atachachafya pale...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Huku Kwangu nchini Puerto Rico nilipo sasa nikiendesha shughuli zangu sasa yapata mwezi wa Sita ( 6) hivi nawaona mara kwa mara Police wa huku na hata Watendaji wa Magereza pindi wanapokuwa na '...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Nisiwachoshe,ipo hivi, Siku za hivi karibuni wameibuka watu ndugu na jamaa kuniomba sana fedha wakidai wana shida sana sana. Kuwasaidia sio kesi kwani maisha ni kusaidiana.Sasa kinachoniuma...
4 Reactions
4 Replies
989 Views
Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limefanya ukaguzi wa kushitukiza kwa mabasi ya kusafirisha abiria kwenda mikoani wilayani na maeneo ya vijijini na kugundua makosa mengi kwenye magari hayo ambapo...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Mambo ya kibongo ni ya hovyo hovyo sana, huyu jamaa yetu Jamali Malinzi rais wa TFF anafanyiwa zengwe la kutosha... Mkuu nakujua sana wewe ni member mzuri hapa jukwaani, endapo utapata fursa ya...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Iringa. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefunga maduka ya wafanyabishara wasiotumia mashine za kielektroniki za EFD. Hatua hiyo imekuja baada ya maofisa wa TRA kufanya ukaguzi wa kushitukiza...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wandugu za majukumu, kwa ufupi tu kwamba Acacia wamepokea maelezo ya TRA kuhusu kodi Trillions 425.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali ifanye mambo haya italeta tija. a)Kuzuia kulima tumbaku b)Kuongeza kodi kwenye pembejeo za tumbaku c)Kuongeza kodi kwenye biashaya ya tumbaku d)Kuzuina kutengeneza sigara e)Kuzuia...
1 Reactions
2 Replies
799 Views
Waziri Mhe.Ummy Mwalimu aagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa Mganga Mfawidhi wa kituo cha afya cha Mlandizi mkoani Pwani. WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ufukwe wa bahari kama dampo aibu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tuhuma za mara kwa mara za kutumia lugha kali zinazomkabili Tundu Lissu, je ni ushujaa au kuishiwa sera? Source: VOA Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Ni lini na sisi Tanzania tutafanya vitu kama hivi?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Pamoja na matangazo mamlaka ya mawasiliano wanayoyatoa nimeibiwa simu, nimeripoti polisi (RB) ninayo, risiti ya kununulia yenye imei namba ninayo, box la simu yenyewe ninalo ..... Tatizo wahusika...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Waandishi wetu wa habari na Vibaraka wengine sijui mnajisikiaje mnapomsikiliza huyu kijana.
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom