Sadist! mtu ambaye ukiumia anapata raha moyoni!

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,483
Tulikuwa tunajadili hapa, unajua kuna watu wameumbwa na roho mbaya ajabu, wakikuona unaumia, unapata shida, huna kazi, huna pa kwenda, unapigwa etc, wanafurahi yaani roho yao hapo ndio ina furaha ajabu.

Mfano ni watu wanaoangalia mieleka, ngumi na martial arts zingine, utashangaa mtu anapigwa, anatoka midamu lakini watu wanafurahi wanashangilia mno.

Kuna wengine kwenye maisha tu, hawajaumbwa kufanya kitu cha kufurahisha maisha ya mwanadamu mwenzie, anaweza kuwa bilionea lakini akimkuta mhitaji wa alfu 10 hatoi, au mshahara anaompa mfanyakazi wake ni mdogo kupit akiasi.

Serikalini ni watu wachache sana ni masadist kwasababu ya siasa watu hupenda kufanya kitu ili wapendwe waje wachaguliwe tena, pamoja na kwamba wapo wachache ambao wananchi wakipata shida, wakiumiza mioyo, wao roho zao huwa zinafurahi mno. Mara nyingi watu humaanisha sadism na sexual gratification lakini hata kwenye maisha ya kawaida sadism ipo hata kwenye mambo mengine.
 
Magufuli is barbaric & sadistic in nature
 
Mfano ni watu wanaoangalia mieleka, ngumi na martial arts zingine, utashangaa mtu anapigwa, anatoka midamu lakini watu wanafurahi wanashangilia mno.
Mkuu hii ni michezo tu sio kwamba wanapigana watu kwa chuki.
 
Tulikuwa tunajadili hapa, unajua kuna watu wameumbwa na roho mbaya ajabu, wakikuona unaumia, unapata shida, huna kazi, huna pa kwenda, unapigwa etc, wanafurahi yaani roho yao hapo ndio ina furaha ajabu.

Mfano ni watu wanaoangalia mieleka, ngumi na martial arts zingine, utashangaa mtu anapigwa, anatoka midamu lakini watu wanafurahi wanashangilia mno.

Kuna wengine kwenye maisha tu, hawajaumbwa kufanya kitu cha kufurahisha maisha ya mwanadamu mwenzie, anaweza kuwa bilionea lakini akimkuta mhitaji wa alfu 10 hatoi, au mshahara anaompa mfanyakazi wake ni mdogo kupit akiasi.

Serikalini ni watu wachache sana ni masadist kwasababu ya siasa watu hupenda kufanya kitu ili wapendwe waje wachaguliwe tena, pamoja na kwamba wapo wachache ambao wananchi wakipata shida, wakiumiza mioyo, wao roho zao huwa zinafurahi mno. Mara nyingi watu humaanisha sadism na sexual gratification lakini hata kwenye maisha ya kawaida sadism ipo hata kwenye mambo mengine.
Haujaeleweka, kama nia yako ni kuelezea maana ya 'sadism' ukidhani ni neno jipya basi ujue linafahamika, na ma sadist wapo duniani kote because its a psychological condition. Swali langu maelezo yako yanalenga nini? kuelezea maana ya sadism? kujaribu kuonyesha sadist wapo serikalini? au umeandika without any focus? cz nashindwa hata kuelewa unalenga nini, au hauna kazi washkaji, ndugu etc wanafurahi wamekusononesha ukapata msamiati ukaamua ulete frustration zako JF?
 
Kuelewa inategemea umesimama wapi?
 
akili za mbayuwayu changanya na za kwako. kama hadi picha haujui kusoma basi wewe ni mbumbumbu. turudi kwenye mada basi.
 
hebu jaribu tu kufikiria, mtu ana kampuni ya bilion mia tano huko kwenye private companies, kampuni inaingiza bilions kwa mwaka, lakini mfanyakazi anamlipa laki mbili au laki tatu kwa mwezi. binafsi nikimtumikisha mtu huwa namlipa kile kitu ambacho ningekuwa mimi ningependa nilipwe, hadi wakati mwingine nagombana na wife kwasababu ananiona kama natoa hela nyingi kwa mfanyakazi kume ni kawaida.
 
yaani kuna watu wamezaliwa wana roho mbaya na ngumuuu na siku zote wanapanga mipango kufanya maisha ya wengine yawe magumu. ni nature tu ya mtu. na watoto wao nyumbani wanapataga shida everything ni shida na wanaona fresh tu. ndio wamezaliwa hivyo wakati mwingine hautakiwi kuwalaumu, ndivyo walivyo, hawajui wema.
 
kwa akili ya kawaida, ukiona mtu anakufanyia kazi, anaijenga kampuni yako, unatakiwa kumpa mshahara mzuri, kumpromote, kumfanya afanye kazi kwa moyo kwasababu anakufanyia kazi. bile yeye kampuni yako inakuwa haifanyi vizuri.
 
Nini chanzo chake?

love thé love or hâte thé love.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom