Rais huyu mzalendo kumbe anakubalika mno, hayuko peke yake. Nimepitapita states kadhaa za Marekani, sasa niko calfonia yapata wiki sasa, nikiwa nimetokea China kwenye shughuli zangu za...
Afrika Kusini. Wanasayansi Afrika Kusini wamebaini kwamba mtoto aliyeambukizwa virusi vya UKIMWI, ameishi kwa miaka minane na nusu bila viini hivyo.
Mtoto huyo alipewa dawa za majaribio ya...
habar za muda huu wana jamii forum kama inavyojieleza hapo katika pita pita zangu mitaa fulani nikakutana na makundi mAwili yakibishana kuhusu wafanyakazi wa serikali waliokuwa na vyeti feki ni...
Nimekaa na kujiuliza kuwa serikali inakazania sana wanafunzi wasome masomo ya sayansi hata mimi naunga mkono jitihada hizo na niipongeze serikali kwa kuajiri walimu wa sayansi kwani tunaupungufu...
Polisi inamshikilia mtu mmoja(39) kwa kumbaka mtoto(11) jana alfajiri huko Ilemela na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri.
=====
MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA...
Habari za jioni wakuu, natumai shughuli ilienda na inaendelea vizuri kwa wale ambao haijaenda sawa basi yote shukuru kesho pambana utafika.
Naombeni mnielezee nini thamani ya utu wa binadamu...
Songea. Siamini Fulgence (34) amemuua mkewe Asunta Michael (27), mkazi wa Kijiji cha Mtenje Vichakani wilayani Nyasa kisha naye akajiua kwa kujinyonga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Gemini...
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum jijini Dar amesema wakimaliza upelelezi watamfikisha Tundu Lissu mahakamani
Akifananua zaidi kuhusu ni lini watamuachia, amesema bado hajui watamaliza lini...
Hii kadhia imeishia wapi je kuna mtu yoyote aliyepoteza maisha maana meseji zilizokuwa zinasambazwa kuhusu kula mboga za majani na uwepo wa huyu mdudu kama vile kuna sumu imeingia nchini na sasa...
Nitajikita kwenye hoja,
Maisha yanachangamoto nyingi mno ambazo zinakatisha tamaa,kuna wakati unaweza kudhani Mungu amekusahau kabisa pale unapoona wengine wanafanikiwa na wewe upo tu.
Jambo la...
Moshi. Jeshi la Polisi nchini linamsaka mtuhumiwa kinara wa uporaji pikipiki maarufu bodaboda na mauaji ya madereva mkoani Kilimanjaro.
Anayetafutwa ndiye ambaye polisi wanadai kukuta maiti ya...
Habari wamaJF,
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya gari dogo Toyota Starlet lenye namba za usajiri T259 DFL kugongana na Lori(Fuso) lililokuwa limebeba Nyanya.
Ajali hii imetokea kona Mbuyuni...
1. Ualimu
2. Uhandisi
3. Sheria
4. Udaktari
5. Uchumi
6. Biashara
Hizo ni baadhi tu ya Taaluma hapa duniani. Kati ya hizo, Sheria Haina athari athari ya moja kwa moja katika maisha ya...
Dar es Salaam.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wafanyakazi watano wa Kampuni ya Uchapaji ya CI-Group Co. Ltd, kulipa Sh 52.5 milioni ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela kila...
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Mwesigwa Mberwa (23),amekutwa amefariki dunia katika chumba namba 38 kwenye nyumba ya kulala wageni (guest house) iitwayo Msukuma, huko kitongoji cha usalama...
Nikiri tu kwamba nami ni mmoja wa watu ambao naiona dhamira ya dhati ya Mh. Rais wa awamu ya tano katika kulisaidia taifa letu. Kutokana na kauli zake na matendo yake ni wazi Mh. ana kiu ya kuona...
Msanii na Mhubiri wa Injili, Masanja Mkandamizaji leo amewatembelea wanafunzi majeruhi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent nchini Marekani.
Masanja, aliyepata umaarufu katika kipindi cha...
Ni hivi nilinunua kifurushi cha mwezi cha 10,000 ambacho nilipewa dk 139 za kupiga sasa wakanipa bonus yao ya tsh 5000 ambayo itadumu kwa siku moja.
Sasa interesting part ni kuwa ukipiga simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.