Kutoka katika vyanzo tofauti vya magroup ya Whatsapp Ya watumishi wa umma yameibuka malalamiko kuwa kuna baadhi ya watumishi wa umma hawajawekewa mshara wa mwezi huu wa saba uliotoka leo mchana...
Kwanza kabila hili ndio kabila dogo zaidi nchini Tanzania idadi yao ni karibu watu elfu moja maisha yao hutegemea uwindaji na mazao ya porini.
.
Wahadzabe wanaoana kwa mahari ya Nyani wawili...
Sayansi ya utambuzi na ufahamu wa mwili kwa maana ya conscious mind inatumbia kuwa mwili una uwezo wa kujilinda na mashambulizi yote kutoka nje ya ufahamu wake tafiti nyingi...
Leo tarehe 1 August 2017 katika kipindi chao cha Clouds 360 wametumia muda mwingi kuwashambulia Chadema kwa kudai wanawatetea wezi Acacia.
Baada ya kusoma kichwa cha habari cha gazeti la Uhuru...
mume wake alipata mwanamke Uarabuni sasa akawa anaitwa na watoto aunt Edith, akawaambia hyo sio sio Edith aunt wao
sasa akafuatilia huyo EDith ni nani, akapekua simu ya mumewe na kuona jina la...
USILOLIJUA LITAKUSUMBUA
By
Charles Mwijage
Waziri wa viwanda
Taifa letu linapambana kuingia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 au kabla ya hapo. Hayo yako kwenye dira ya taifa 2025, Ilani ya...
Wadau naombeni kujua kama kuna chochote kimesha amuliwa had sasa kwenye hayo maongezi na hii team ya Barrick?
Naona kimya sana,kama ambae ni jinai sisi kujua kinacho endelea nchini kwetu baina ya...
Wanabodi, moja ya mambo ambayo wananchi hasa watumishi wa umma wanayoyatarajia raisi kuyaongelea siku ya wafanyakazi ni haya yafuatayo:
1. Kutolea ufafanuzi suala la watumishi kupitia kozi maalum...
Hali ni tete kwa watumishi wote darasa la saba ambao waliajiriwa kuanzia 2004.
Watumishi ambao walikuwa bado awajajiendeleza na elimu ya kidato cha nne mwezi huu wameondolewa rasmi kwenye payroll...
High-tech Sai inatoa huduma za matibabu na vipimo vya afya kwa bei ya juu sana. WaPo mita 400 tu toka TAKUKURU makao makuu na mita 4000 tu toka TRA Makao makuu. Nimelipa amount hiyo na kwa...
Wakuu
Nitoe pongezi nyingi kwa jeshi letu la polisi likiongozwa na IGP Sirro kufanikisha kuyazima kabisa mauaji ya kutumia risasi yaliyoibukia huko Pwani kwa wilaya za mkuranga, kibiti na rufiji...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe apigia Chapuo Tanzania kuharakisha matumizi ya mbegu za Uhandisi Jeni (GMO) hapa nchini.
Aidha, amepongeza watafiti...
Zoezi la uzikaji limeendelea kuwa gumu hivi sasa baada ya baadhi ya sehemu zilizoaminiwa kuzikia watu kujaa. Dar imejaa, ndivyo wanavyosema wananchi wa Dar
Kiukweli hata ukienda Kinondoni leo...
Ningependa kuwasilisha hili
Ndugu zangu ni mara nyingi naona wenzangu wengi wakimkosoa mkuu wa nchi humu JF na kwengineko ambalo si vibaya kama unamkosoa kwa utaratibu wa nchi.
Ila wengi wa hao...
jimbo la Ubungo serikali ilitoa hela wananchi wachimbiwe kisima cha maji, kwa vile Mkiti wa mtaa ni chadema kajichimbia nyumbani kwake na kujiunganishia yeye tu! then anawauzia wananchi, na mradi...
Huyu kaka namkubali sana hakika anaweza sio siri. Hongereni ITV kwa watangazaji wanaojielewa.
Yupo vizuri akiwa mubashara kwenye matukio na pia kwenye mahojiano
na pia ni mtangazaji ambaye...
Mbunge wa jimbo la kawe Mh Halima Mdee amesema Genetic Modification ni sumu na haina tija kwa wakulima wa Tanzania, zaidi itaongeza umaskini. Mh Mdee ameyasema hayo wakati akichangia muswada wa...
kama na nyie mmekumbana nayo yaani mi sijaipenda kabisa,mtu uko bize unapigiwa simu unapokea halafu unakumbana na swali hilo.wakati huo labda huna namb
a yake .acheni hizo