Baada ya kuona kasi kubwa ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya barabara nchini Tanzania na hasa Dar es salaam, nimeshtushwa mno na hali mbaya na ya kutisha ya barabara ya Tabata Kimanga...
Habari wana ndugu wa JF,
Katika jamii tunazoishi mf. shule, kazini, mtaani n.k kuna watu wa aina tofauti tofauti. Je, wewe mwanaJF unaona ni aina gani ya watu ambao ni hatari katika jamii zetu...
Kiungo Haruna Niyonzima pamoja na Mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana Nicholas Gyan wamewasili rasmi Kwa ajili ya kukipiga kunako klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam.
Niyonzima sambamba na...
Nawasihi bodi ya mikopo kutumia weledi katika utoaji wa mikopo na kuacha ubaguzi usiokuwa na maana yoyote. Kusoma O level private isiwe adhabu kwa hawa vijana. Fuatilia uwezo wa wazazi ikiwezekana...
Mmiliki wa shell hiyo ya oil cocm kuna kitu ambacho kinakera wateja Kwa miaka mingi sana nadhan Kwa wakazi wa tabata mnalishuhudia. Ni hivi mmiliki wqtendaji wako wanakuangusha maana mteja...
Kuna usemi usemao USITUKANE WAHENGA ANGALIA UZAZI HUO ULIPO
Ndio hayoooo ya liopo sasa topic kubwa humu ushauri wa mapenzi
Vishawishi,umbea,utoto,
Leo vikwapa vimeota nywele tu kosa
Washajisahau...
Kipindi cha kampeni za urais wa Marekani mwaka jana kuna habari za kizushi zilizokuwa zinasambazwa mtandaoni kuhusu rais Donald Trump [wakati huo akiwa mgombea] kusema maneno ya kashfa kuhusu...
Is it money? Is it fame? Is it weed? Is it drink? Is it comin' down with the loud pipes and the rain?
Tell me who you loyal to
Is it love for the streets when the lights get dark?
Is it...
Baada ya tuhuma za rushwa kule Mwanza, ukatangaza kwenye media kama umeamua kujitoa kwenye mchakato wa uchaguzi wa TFF lakini baada ya wapambe wako Mwenyekiti wa DRFA Almasi Kassongo na Mwenyekiti...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dr. Hamisi Kigwangalla, ametoa shukrani kwa followers wake kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa kuwaambia kuwa anawashukuru sana...
jumapili iliyopita nilikua kanisani,katika mengi,
mchungaji aligusia 'the acts of Christian/kindness' iliyoonyeshwa na watu,waliojitolea chakula na malazi kwa walionusurika na ajali ya...
Wakuu naomba kuuliza hvi mbunge anapozuiliwa kuingia bungeni kwa muda
Jimbolake haliwezi kutetewa tena bungeni kwa huo mudaa
*hawezi kuomba mwenzie kusemea matatizo yake?
Sent using Jamii...
Wakuu kama umemsikiliza Yoweri Kaguta museveni basi utagundua mzee huyu alikuwa anatupa dongo kwa nyombo vyetu vya usalama Juu ya swala la Ulinzi wa mipaka yetu, Museven alipita Horohoro Tanga uku...
Habari ndugu zangu!,
Kutokana na kero mbalimbali Kwa wamiriki Wa magari yasiyo ya abiria, naomba kuleta kwenu pendekezo la kuanzishwa Kwa chama rasmi, chama ambacho kitakuwa daraja la kufikisha...
Leo nilikuwa mahala fulani napata huduma, mara akaja mtu mmoja ambaye ni kipofu na msaidizi wake bwana mdogo mmoja hivi.
Jamaa akatoa shilingi elf moja akampa yule msaidizi wa kipofu sasa jambo...
Wakuu habari, yamkini wote wazima wa afya
Nikiangalia hawa watangazaji wa mpira wa miguu (Commentators) ambao wanakuwa kwenye chumba maalumu uwanjani, na watangazaji (Reporters) ambao wanaripoti...
Miaka kadhaa iliyopita ITV walikuwa wakifanya coverage ya karibu sana na bwana Gidabudai. Moja kati ya vitu mabavyo navikumbuka ni kauli yake ya kusema "kama Tanzania itapata medali yoyote kwenye...
Hakuna ubishi wowote, heshima ni moja ya kitu ambacho karibu kila mtu anakitafuta katika maisha yake. Hakuna mtu ambaye hataki asiwe wa kuheshimika, heshima inatafutwa na watu wengi sana.
Ndio...