FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,801
- 46,925
Baada ya kuona kasi kubwa ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya barabara nchini Tanzania na hasa Dar es salaam, nimeshtushwa mno na hali mbaya na ya kutisha ya barabara ya Tabata Kimanga kuelekea kituoni mwisho, nikajiuliza hivi hii Kimanga ni sehemu ya Tanzania au ina rais wake mwingine mzembe mzembe? Kwa mwenye yaarifa zaidi