Ushauri kwa mmiliki wa kituo cha mafuta cha Oilcom Tabata Segerea, kona ya kabla ya Segerea mwisho

osama BLD

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
561
292
Mmiliki wa shell hiyo ya oil cocm kuna kitu ambacho kinakera wateja Kwa miaka mingi sana nadhan Kwa wakazi wa tabata mnalishuhudia. Ni hivi mmiliki wqtendaji wako wanakuangusha maana mteja umapoingia pale hamna mtu anajali kuelekeza nenda pump ile unaenda unashindwa usimame pump gani uamamua mwenyewe kujichagulia ukishasimama wala no body care ukiuliza vp waanakwambia nenda pump ile hiyo haina mafuta..

Au ukambiwa mafuta hamna..Ni kitu ambacho kimefanya wateja wengi kukimbia hiyo shell..

Mmiliki jaribu kufanya uchinguzi utaligindua hilo kuna jamaa wa kiarabu koko wanakuwepo na waswqhili weusi kuhudumia wateja mara unakuta wanangalia cm hata watu wa3, 4 kwenye cm moja

Mmliki litafakari otherwise you can employ other staffs to service the customers other wise soon thing are going to fall apart and you are at a pint of no return

My advice to u
Majina halali cleophus maumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila wabongo hatuko serious na kazi ndo maana tunaona magu kama anatupelekesha vile in short tu wazembe mnooo , sio shell tu tembelea hata mofisini customer care ni sufuri kabisa , juzi nimeenda ofisi fulani maeneo ya tabata yaani wahudumu unawuliza maswali wako busy na simu hadi unahisi unawasumbua wakati ni mteja khaa, magu anakazi sana.
 
Nishaenda sana hapo Oil Com hawapo serious hata kidogoo, siku hizi Sheli yangu ni Puma tu nipo radhi nifunge safari ya 10 km kufuata mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmiliki wa shell hiyo ya oil cocm kuna kitu ambacho kinakera wateja Kwa miaka mingi sana nadhan Kwa wakazi wa tabata mnalishuhudia. Ni hivi mmiliki wqtendaji wako wanakuangusha maana mteja umapoingia pale hamna mtu anajali kuelekeza nenda pump ile unaenda unashindwa usimame pump gani uamamua mwenyewe kujichagulia ukishasimama wala no body care ukiuliza vp waanakwambia nenda pump ile hiyo haina mafuta..

Au ukambiwa mafuta hamna..Ni kitu ambacho kimefanya wateja wengi kukimbia hiyo shell..

Mmiliki jaribu kufanya uchinguzi utaligindua hilo kuna jamaa wa kiarabu koko wanakuwepo na waswqhili weusi kuhudumia wateja mara unakuta wanangalia cm hata watu wa3, 4 kwenye cm moja

Mmliki litafakari otherwise you can employ other staffs to service the customers other wise soon thing are going to fall apart and you are at a pint of no return

My advice to u
Majina halali cleophus maumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Tens usithubu kwenda ile Shell ya Oil com ile ya tabata muslim. Wanaiba mafuta hatari.

Unaweza weka mafuta ya 20, 000/= ukawekewa ya 12, 000/≈ au 10, 000/=
 
Kweli huduma zao sio nzuri, mteja hata hujisikii mfalme, yaani unajiona kama kibaka ukifika pale.
Hospitaliy ziro kabisa.
 
Kuna watu wamaleta mchezo na biashara. Kampuni nyingine ambayo ikifeli itamsingizia Magu ni Serengeti Breweries. Wametoa bia yao pendwa ya Serengeti Lite, ajabu mtaan haipo. Kila ukiulizia ktk bar unaambiwa mji mzima hazipo. Siku ya tatu leo bia za Tusker, Serengeti, na Serengeti Lite hazipo Iringa mjini (mfano Luxury na maeneo ya CCM). Marketing/Sales manager wa Iringa au kanda hii anafanya nini? Kutoka Dar hadi Iringa hizo bia zinapakizwa kwenye mtumbwi kiasi kwamba kwa siku zaid ya tatu bia zao zikosekane mjini?

Kituko zaidi hawa watu wa Serengeti Breweries hawana website. Ukiwatafuta mtandaoni unawapata kupita ka-webpage ka East African Breweries(EABL). Kule nao taarifa ni outdated-kuna contacts za S.L.P na simu ya mkononi ambayo kila ukipiga uwape taarifa ya kinachoendelea huku huwapati. Ni kukosa ubunifu kwa kiwango cha juu sana kutokuwa na contacts za Twitter, Instagram au WhatsApp maana huko ndo watu wanashinda siku hizi.

Nawatahadhalisha kwamba Serengeti Lite ni bia nzuri sana, ila itafulia kwa kukosa marketing strategies nzuri na kujificha ktk P.O Box.
 
Puma is the best so far. Nenda Lake Oil pale njia panda ya Tabata, utajuta kuingia mule, ni kama unavyoielezea hiyo oilcom ya segerea.

Kiufupi, customer care kwetu ni tatizo sana, nenda halotel, vodacom na ttcl pale bima, hopeless kabisa, na wengine hata hawajui kwa nini wapo pale kuhudumia wateja. Sijui aliyetuloga ni nani, then tukifukuzwa kazi hatuishi kulalamika.
 
Mmiliki wa shell hiyo ya oil cocm kuna kitu ambacho kinakera wateja Kwa miaka mingi sana nadhan Kwa wakazi wa tabata mnalishuhudia. Ni hivi mmiliki wqtendaji wako wanakuangusha maana mteja umapoingia pale hamna mtu anajali kuelekeza nenda pump ile unaenda unashindwa usimame pump gani uamamua mwenyewe kujichagulia ukishasimama wala no body care ukiuliza vp waanakwambia nenda pump ile hiyo haina mafuta..

Au ukambiwa mafuta hamna..Ni kitu ambacho kimefanya wateja wengi kukimbia hiyo shell..

Mmiliki jaribu kufanya uchinguzi utaligindua hilo kuna jamaa wa kiarabu koko wanakuwepo na waswqhili weusi kuhudumia wateja mara unakuta wanangalia cm hata watu wa3, 4 kwenye cm moja

Mmliki litafakari otherwise you can employ other staffs to service the customers other wise soon thing are going to fall apart and you are at a pint of no return

My advice to u
Majina halali cleophus maumba

Sent using Jamii Forums mobile app
labda wanabiashara nyingine pale wanazuga tu
 
Wahudumu wa vituo vya mafuta walio wengi customer care yao ni ovyo kabisa,kwa mfano huku njombe pale oilcom ukiwakuta wahudumu wa kike unapigwa jungu huku unasikia/ukiwakuta wakiume wanatoa harufu ya mmea tu muda wote plus lugha za ovyo kwa wateja ni shiida bora GAPCO AU TOTAL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wamaleta mchezo na biashara. Kampuni nyingine ambayo ikifeli itamsingizia Magu ni Serengeti Breweries. Wametoa bia yao pendwa ya Serengeti Lite, ajabu mtaan haipo. Kila ukiulizia ktk bar unaambiwa mji mzima hazipo. Siku ya tatu leo bia za Tusker, Serengeti, na Serengeti Lite hazipo Iringa mjini (mfano Luxury na maeneo ya CCM). Marketing/Sales manager wa Iringa au kanda hii anafanya nini? Kutoka Dar hadi Iringa hizo bia zinapakizwa kwenye mtumbwi kiasi kwamba kwa siku zaid ya tatu bia zao zikosekane mjini?

Kituko zaidi hawa watu wa Serengeti Breweries hawana website. Ukiwatafuta mtandaoni unawapata kupita ka-webpage ka East African Breweries(EABL). Kule nao taarifa ni outdated-kuna contacts za S.L.P na simu ya mkononi ambayo kila ukipiga uwape taarifa ya kinachoendelea huku huwapati. Ni kukosa ubunifu kwa kiwango cha juu sana kutokuwa na contacts za Twitter, Instagram au WhatsApp maana huko ndo watu wanashinda siku hizi.

Nawatahadhalisha kwamba Serengeti Lite ni bia nzuri sana, ila itafulia kwa kukosa marketing strategies nzuri na kujificha ktk P.O Box.

Pole.Kaka....utakuwa mpenzi wa serengeti na wamekukwaza sana
 
mkuu wiki hii hamia kwenye juisi za azam mpaka consigment mpya itakapokuja,walau upumzishe kidogo miundo mbinu ya maini na figo
 
Back
Top Bottom