Ni aina gani ya watu, hatari zaidi katika jamii?

Ni aina gani ya watu, hatari zaidi katika jamii?

Social maniac

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
357
Reaction score
429
Habari wana ndugu wa JF,
Katika jamii tunazoishi mf. shule, kazini, mtaani n.k kuna watu wa aina tofauti tofauti. Je, wewe mwanaJF unaona ni aina gani ya watu ambao ni hatari katika jamii zetu? either wanaharibu amani, utulive, maadili au utaratibu mzima wa maisha katika jamio zetu.

Kwa upande wangu naona wezi na wadini (watu wenye udini uliopitiliza).

Curiosity.
 
Back
Top Bottom