Mkutano wa Tendwa na Waandishi wa habari leo!!

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
15,393
12,977
PHP:
Tendwa akutana na waandishi wa habari
Msajli wa Vyama vya Siasa, John Tendwa leo anatarajiwa kukutana na waandishi wa habari kuzungumzia Sheria ya Gharama za Uchaguzi katika uchaguzi huo mdogo utakaofanyika hivi karibuni.

"Kesho (leo) atafanya mkutano na waandishi saa 4:00 asubuhi ofisini kwake, kuongelea Sheria ya Gharama za Uchaguzi katika Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga, mkoani Tabora, waandishi wa habari mnaalikwa," ilisema taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari jana.

Source Mwananchi


Tunaomba akina Pasco & co. mtujuze kinachojili.
 
Back
Top Bottom