Kilichonifurahisha kutoka kwa Billgates ni kuwa hatembei na mabaunsa au walinzi licha ya utajiri wake

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
Kuna jambo la kufurahisha kama sio la kushangaza Tajiri na multi millionaire na mtu mwenye brand kubwa na ushawishi Bill gates anatembea bila ya kuwa na mabaunsa au walinzi.Tajiri huyu ana utajiri wa Dollar Billion 90

2d40882ac09a85d4e1e84972eb3662d3.jpg


230a5fbe2d314db6f88ae8b2fdd17ed9.jpg


6f63edb33e3599f10497cbcf1eea0427.jpg


2.Steve jobs pia ni Tajiri mwingine lakini yupo kawaida alikuwa hatembei na mabaunsa

12fbb40332a77f4836c5eb36df48494f.jpg


73f592d336c5d38ab9040a31e42d699b.jpg






Kimbembe kipo huku


1.Gwajima huyu Don anatembea na walinzi kibao utafikiri Director wa FBI


3efe6aeea3cfa355e6e3aa5d27677681.jpg
.


2.Diamond huyu naye hajiamini anatembea na baunsa

d18578005f25568d90933abedef6f929.jpg


ffa21089541f14a0871ad4a5c6b0072c.jpg


3.May weather huyu ndio panya kabisa licha ya umashuhuri wake lakini hawezi kutoka nje ya nyumba yake bila ya walinzi na mabaunsa .

3448d7d6015a04c4381f7538b7200aea.jpg






2016 Floyd alivyomshinda Pac alisema yeye ni bora kuliko Mohammad Ali kauli ile ilimkera sana Tyson na Tyson akamtolea uvivu Floyd .


“He's very delusional. Listen, if he (Floyd Mayweather) was anywhere near that realm of greatness with Ali he'd be able to take his kids to school by himself. He can't even take his kids to school by himself, and he’s talking about being great?”

– Mike Tyson


7faf043a77f37b2286ea93a4d05d4604.jpg




Nawapa pongezi akina Billgate ase utajiri wao,umaarufu wao hauwanyimi usingizi
 
inategemea..maisha utayoishi najinsi utavoishi ndo itakua matokeo ya kuwa na amani au kutokuwa na amani..bill gates hana makuu..hana magomvi na pia sioni akiwainvilved sana na mambo ya kisiasa ya kupelekea kuwa na enemies..inshort yupo simple.na jobs pia

ila hawa wengine maisha yao ni jibu tosha why wanajiri mabodyguard..pia wana makuu sana
 
duh! huyo mtumishi wa mungu hamuamini mungu wake muweza wa yote..?

kwa billgate bado namtafakari..

kuna watu mkuu lzm wawe na ulinzi mashabiki wanazingua sana mara self mara kuhoji wengine ndo visasi humohumo
 
Watu wenye ukwasi wengi wanamifumo yao yaulinzi.

Hakuna usalama sana kipindi hiki.

Mr Gates naye anawalinzi wake. Japo hujawaona hapo kwenye picha.

Hao akina Myweather ni uchaguzi wao tu.

As long as they don't harm anyone I see no problem.

Judgements are a confession of character.

Don't judge people

Everyone's journey is different
 
3.Eti mayweather huyu ndiye panya kabisa..kila ntakapokumbuka ntacheka tu.
 
Huwezi fananisha Celebrity na tajiri wa kawaida.Bill Gates anaweza simama pale kariakoo na watu wasijue kama ni Bill Gates watashangaa tu kumwona mzungu.Ila leo akishuka pale huyo Mayweather nakuapia hata wamachinga wanaijua IMAGE yake.
 
Back
Top Bottom