DC Gambo ashitakiwa kwa Waziri Mkuu

DC Gambo ashitakiwa kwa Waziri Mkuu

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,465
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu amezungumza bungeni hivi punde na kusema DC wa Korogwe (Mrisho Gambo) ni mbabe na mwenye dharau. Kwa sababu hiyo, kasema ameshamshitaki kwa Waziri Mkuu Pinda. Kasema Pinda kaahidi kuchukua hatua, lakini hajaona kitu hadi sasa.
Shekifu kasema DC huyo ni mbabe, anawaweka rumande viongozi wenzake (Diwani). Kamaliza kwa kuhoji, "Vijana hawa madaraka wanapata wapi?"

Angalizo: Kwa Pinda wala hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa kwa sababu yeye mwenyewe hana ujasiri huo.
 
Absolutely foolish! Labda angelalamika mtu mwingine. Shekifu huyuhuyu ambaye akiwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara alitaka kumdhalilisha mbunge wa simanjiro mbele ya wapiga kura wake? Yeye madaraka alipata wapi? Ama kwakuwa siyo kijana?

My implied message: hivi vyeo vya kuteuliwa na rais vinahitaji busara kubwa sana. Siyo busara kushindana na wawakilishi halali wa wananchi kwakuwa tu una god father, yaani aliyekuteuwa. Na kama yalivyomfika Shekifu, amalipo ni hapa hapa, hadi Katiba itakapobadilishwa kuvifuta hivyo vyeo vya kishikaji. Gambo pia atalalamika dhidi ya MaDC na Ma RC mara kibarua kitakapo ota majani mapema JK akiondoka madarakani na EL kukamata usukani.

Back
Top Bottom