rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,716
- 5,388
WAKUU Kindly,
Ndugu Honorath Charos Moshi, Mchaga Mzaliwa wa Rombo Kikelelwa alipotea toka mwaka 1994.
Alikuwa anaishi Sombetini Arusha na aliondoka ghafla, hakurudi mpaka leo. Watoto wake wamekua wanamtafuta.
Kwa yeyote anayejua alipo, zawadi nono na kubwa mno itatolewa.
MUNGU AWABARIKI SANA.