Umri wa Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru

Umri wa Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,465
Nashukuru leo Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru kategua kitendawili kilichokosa jibu kwa miaka mingi. Kasema Mei 30, mwaka huu atatimiza umri wa miaka 82.
 
Mizizioloji imempa uhai wa kutosha. Wa mafuta ya korie na vidonge vya hospital wenye umri huwo sasa hivi hawajitambui.
 
Nashukuru leo Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru kategua kitendawili kilichokosa jibu kwa miaka mingi. Kasema Mei 30, mwaka huu atatimiza umri wa miaka 82.
Bado ni shupavu na ana akili timamu tunamtegemea sana huyu mzee kwa busara na uwezo wake.
 
Bado ni shupavu na ana akili timamu tunamtegemea sana huyu mzee kwa busara na uwezo wake.

Kwa mujibu wa sheria mtu mwenye umri kama huo hawezi kuuza kitu chochote na huezi kuingia nae mkataba wowote.
 
Nashukuru leo Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru kategua kitendawili kilichokosa jibu kwa miaka mingi. Kasema Mei 30, mwaka huu atatimiza umri wa miaka 82.

au kwa vile hamtambui mungu ndio mana hata mungu kaona hana haja na uhai wake nini!!!
 
kWA DHAMBI YA KUSALITI MAONI YA WATANZANIA WALIO WENGI SUBIRINI ADHABU ITAKAVYOMPOROMOSHA WITHIN MONTHS MTAKUWA MNAPIGA STORY TU.
 
Kachoka kuliko Mgabe, yeye anacheza na 90+
 
Back
Top Bottom