Risasi za rindima Mnazi mmoja

Risasi za rindima Mnazi mmoja

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
Muda huu hapa mnazi mmoja, mtu mmoja amepigwa risasi na askari, na wengine wawili wamekamatwa, yaonyesha hawa watu ni majambazi. niko juu kwenye jengo la ushirika nimeona picha nzima ilivyo.
 
Dah,mpaka nifike mambo yatakuwa shwari mana ndo naelekea huko.
 
Kama ni majambazi ngoja yashugulikiwe.
 
Nikkaz don't understand the four devils:Lust...Envy...Hate...Jealousy

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
ah ah ah! Ngoja wakusikie wenyewe, maana wanavyo jisifia hao unaweza kuzani ni San Pedro Sula
Kumbe ni mburula tu

Mkuu arusha hakuna majambazi kuna mashoga sasa kweli utauwa shoga?
 
Muda huu hapa mnazi mmoja, mtu mmoja amepigwa risasi na askari, na wengine wawili wamekamatwa, yaonyesha hawa watu ni majambazi.
P1 mwangu!, 2taftie full story alafu ututupie ka picha kidogo ili 2one zilivyo kua zinakwepwa!
 
Tupe updates zaidi basi.... nn kimeendelea sasa
 
..hao jamaa wangekuwa na tindikali wasingekamatwa, maana nasikia ukibeba tindikali hauonekani kama ilivyokuwa wakati wa vita ya majimaji...
 
ila wananchi waajabu jamaa wanapiga risasi kuwatawanya ndio kwanza wanasogea...
Niliwahi kushuhudia vita moja majambazi yanarusha risasi raia wanasema ni BARUTI HIZO wale jamaa walipoona watu wanawakaribia wakamdondosha kwanza wa mbele ndipo wengine wakashtuka na kutimka kila moja na kwake
 
jamaa walikuwa wanne kwenya pikipiki 2, wameshakuliwa na jamaa zetu wale wantelop.

ila wananchi waajabu jamaa wanapiga risasi kuwatawanya ndio kwanza wanasogea...

we unashangaa wananchi wakati Kidole007 alitaka na wewe ushuke kufuata more info eneo la tukio hahahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom