Increasing numbers of desperate wananchi are known to have been lured by the many street signs set up by so-called 'witchdoctors' plus fake online blogs inviting them to join this exclusive...
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango, (kulia)akipiga kengele kuashiria kuorodheshwa rasmi kwa hisa za kampuni ya Vodacom Tanzania PLC katika Soko la Hisa la Dar es Salaam jana...
Kuna hili jambo linanitatiza sana khs tabia za Bindamu, hivi inawezekana vp Binadamu mmoja akaweza kufwatwa na kuabudiwa na Binadamu wengine kwa kila asemacho au kutenda?
Kwa mfano Raila Odinga...
Kama kichwa vlcha habari kichwa cha habari kinavyojieleza.
Najua kuna watu watanipinga kwa hili ila ukweli utabakia pale pale, kiukweli ni kwamba kila mtu hapendi kuonekana yuko nyuma kwa vitu...
Mvua nyingi iliyonyesha jana kuamkia leo katika mji mkuu wa Sierra Leone uitwao Freetown, umesababisha mafuriko makubwa na kupelekea watu kupoteza maisha na mali kupotea.
Zaidi ya watu 300...
Imebainika kuwa shinikizo la kuuza Nyumba za uma lililokuwa linatolewa na waziri Ujenzi wakati Wa serikali ya hawamu ya Tatu ya rais Mkapa,ilikuwa ni kujiandalia njia ya uwekezaji huru kwa vigogo...
Dar es Salaam. Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imewahukumu kifungo cha miaka minne jela, wakazi watatu wa Buguruni Madenge, baada ya kupatikana na hatia ya kumpiga kwa mawe mwanamke na kumjeruhi...
Alhamisi mvua kubwa ilinyesha kisarawe ikiambatana na upepo mkali uliodondosha miti na nyaya katika shule ya minaki hasa ktk maeneo ya nyumba za walimu, tanesco kuitwa wakakata miti kisha...
The best strategy to win an argument
Is to have mouth odor.. You will see your opponents
Nodding their heads on whatever you say...
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wawili wamefariki dunia mkoani Singida, katika matukio tofauti likiwemo la mwanamke kuuawa na mume wake kwa kile kilichodaiwa ni hisia tu kuwa ana mahusiano ya kimapenzi nje ya ndoa...
Mwanza. Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA), Kanda ya Ziwa imeteketeza tani 1.6 ya vyakula vya aina mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh2.8 milioni visivyofaa kwa matumizi ya binadamu...
Wadudu hatari kwenye sura ya nyani/ mbwa wawatia hofu wakazi wa Geita kutokula mboga za majani. Wadudu hao maarufu kama DUDU MTU wametapakaa kwenye mboga za majani na Matunda, inasemekana kuna...
Kuna kampuni ya kilimo inaanzishwa mwisho wa mwaka huu. Hii kampuni inategemewa kuwa kampuni kubwa sana hapa afrika mashariki na afrika.
Hii kampuni inataka kufungua akaunti kwenye benki yeyote...
Watu wengi uwa wanatoa sababu zao kuhusu ukosekanaji wa mvua katika baadhi ya maeneo nchini tanzania ila nimekuja gundua kuwa uharibu wa misitu umechangia asilimia kubwa ukosekanaji wa mvua na...
Serikali imesema haitasita kuyafuta makampuni ya madini pamoja na ya simu ambayo yanaendelea kukaidi agizo la kujiunga katika soko la hisa la Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Dr.Philip...
Buchosa.
Jeshi la Polisi wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi katika Kijiji cha Mwabasabi Kata ya Nyehunge, lilipotaka kumkamata...
Watumishi wapo kimya wanaugulia maumivu kimya kimya na mbaya zaidi hawana hata chombo cha kuwasemea.
Miaka miwili hakuna ongezeko la mshahara wala madaraja.
15% bodi ya mikopo makato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.