Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukifuatilia matangazo yao kwenye vyombo mbalimbali vya habari unaweza ukadhani hawa jamaa wapo serious sana kumbe waapii! Mke wangu alijifungua mwezi wa nne mwaka huu na utaratibu wa wanachama wa...
2 Reactions
28 Replies
14K Views
Tangu mheshimiwa rais atoe tamko la kuvitaka vituo vya mafuta kufunga mashine za EFD zilizounganishwa moja kwa moja kwenye pump, kuna baadhi ya vituo hapa Moshi vilifungiwa na baadae kufunguliwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najamni nauliza Sifa za kujiunga na MGAMBO na pia kama ni lazima au hiari kwa arusha anayefahamu msaada na niwatu gani wanaotakiwa kujiunga na mgambo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nimepiga hesabu zangu hapa,inaonesha kwa siku watu 400 tu ndo hupanda ndege ndani ya Tanzania. Nikachukua idadi ya ndege zilizopo tanzania,nikachukua hali ya uchumi mtaani..nikapata majibu kua...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
Drs naomba mwenye yupo na uelewe juu ya vitu tajwa hapo juu anipe shule kidogo vinahusiana na maambukizi ya Virusi vya ukimwi. Natanguliza Shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Habari wadau.. Kuna kitu nimekigundua nikajiuliza sana.. Matajiri wengi wa Tanzania weupe wanapenda sana kuwekeza kwenye viwanda na uzalishaji mali.. mfano Bakhressa, Dewji, Azania, Smart...
12 Reactions
43 Replies
6K Views
Madereva wa kampuni ya Dangote wamegoma kuendelea na kazi hadi watakapolipwa malimbikizo ya mishahara yao ya miezi mitatu wanayodai kwa mujibu wa mkataba. Source ITV Habari hapa na pale!
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Sent using Jamii Forums mobile app wadau wataalamu Wa giologia haya NI mawe aina gani nimeyafuma sehemu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
mate ya mjusi hayana madhara kwa binadamu?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hawa jamaa wamezid mno kuonea watumiaji wa vyombo vya moto... Tunajua mko kulinda usalama wa maisha yetu lkn pale mnapovuka mipaka na kugeuka kero ndio hapo tunashindwa kuwaelewa. Hili jambo la...
12 Reactions
50 Replies
6K Views
Vipi huko kwenu, bado "laki si pesa" maana huku kitaa chetu nimeumisi sana huo msemo. Ilikuwa ni hivo na hata kuna wale wadada wavaa kanga moja ndembendembe walikuwa wanajiita hivo ambao siku...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Foleni Foleni ina kera. Unafika saa mbili unaondoka saa tisa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
887 Views
Raia wa Afrika Kusini, alipandishwa mahakamani Kisutu akituhumiwa kwa makosa manne ikiwamo la kutishia kupitia njia ya mtandao Lakini alipokua mahakamani hakutaka kupigwa picha na waandishi...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Hii Tanzania mpya ya ndugu Charles Mwijage Tanzania inayo pewa sifa kedekede yakujikomboa kutoka nchi Maskini nakuwa nchi ya viwanda na uchumi wa kati Tanzania ambayo watu wake hawajawa tayari...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sasa imeshakuwa too much! Yaani hiki kivuko kinaboa mara ferry isimame njiani, mwendo kama wa kobe, mara mchukue mda mwingi kusubiria ferry yaani ni taabu tupu. Sijui hii nchi ina laana? Hivi ni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu mtoto anaitwa Omari ana miaka 8 alishinda Mashindano Ya Qur’ani Tabora Sikonge wenzie wakachukia. Kesho yake wakampitia kwenda Msikitini wakamtupa ndani ya moto wa pumba kaletwa Bugando...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Waziri Mkuu,aliye achia ngazi kwa manufaa ya uma ,mh Edward Lowasa anatoa azimio la kumuunga mkono rais juu ya hotuba yake ya kuhusu Eac
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Shule ya msingi ya Feza imefanya mashindano ya tatu ya mwaka kurusha tiara maarufu kama "3rd Annual Kite Day" ambapo wanafunzi, Walimu pamoja na wazazi waliweza kuja pamoja katika kufanikisha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mfanyabiashara wa Kariakoo, Casto Onyomolile Ngogo (35) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shtaka la uhujumu uchumi kwa kukutwa akiwa na suruali 5,000 za Jeshi la...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Kamishna Msaidizi wa Polisi ambaye pia ni Afisa Mnadhimu wa Usalama barabarani, Teopista Malya amezindua kipindi cha bodaboda kitakachokuwa kinarushwa kwenye televisheni ya Clouds...
0 Reactions
3 Replies
941 Views
Back
Top Bottom