Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dar es Salaam. Thamani ya mauzo ya hisa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kwa wiki iliyoishia Agosti 11 imepungua licha ya idadi ya zilizouzwa kuongezeka. Wiki mbili zilizopita, benki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shinyanga. Wananchi wa mtaa wa Magadula kata ya Ngokolo manispaa ya Shinyanga wameifunga kwa mawe barabara inayoendelea kujengwa na kampuni ya ukandarasi ya Jasco Investment, kwa madai ya...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Wazir Wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba juzi alitembelea kituo cha polisi cha Mkalama,Singida kuangalia hali ya mazingira na utendaji kazi wa askari polisi. Mkalama kama wilaya mpya...
0 Reactions
4 Replies
894 Views
Dar es Salaam. Wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi jijini hapa wamelalamika kukosekana kwa uhakika wa upatikanaji wa saruji ya Dangote, hivyo kuwasababishia usumbufu. Wakizungumza jana kwenye...
0 Reactions
4 Replies
854 Views
Mh.Rais kwa heshima kubwa nakupa pongezi kwa namna unavyoliongoza taifa letu.Mimi ni mkopaji tangu mwaka 2014 katika kampuni hii changa ya umma iliyoaanzishwa mwaka 2013 nasikia ipo chini yawizara...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Najaribu kujiuliza baada ya kuona wananchi wanakimbia TRA mitaani. Kwa wanaokutwa Bila kujali anamtaji gani au anabiashara gani lazima awe na vitu vitatu... 1:leseni 2:Tin number 3:EFD machine...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari zenu Wanabodi, Rais Magufuli aliamuru Sh bilioni 4 zilizopaswa kutumika kugharamia sherehe za sikukuu ya Uhuru, ambazo zingefanyika Desemba 9, 2015, kutumika kufanya upanuzi wa barabara ya...
4 Reactions
67 Replies
7K Views
African-American Launches Ride-Sharing App to Compete with Uber, Lyft Ride-sharing technology has boomed into a multi-billion dollar industry within the past decade with the biggest names being...
9 Reactions
20 Replies
4K Views
Mimi ni mwajiriwa wa serikali mshahara wangu nizaidi ya 1m kwa mwezi baada ya makato. nimeishi Dar kwanzia mwaka 2009 ,nyumba ninayokaa nlikua nalipa 180,000 kwa mwezi ni chumba kimoja ,jiko ,choo...
12 Reactions
68 Replies
7K Views
Twitter ni chombo cha mawasiliano anachopenda sana Rais Donald Tramp, lakini chapisho la Obama ndio lililo pendwa zaidi katika historia ya TWITTER. Chapisho Hilo anamnukulu Hayati Mandela na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunaomba chaneli mbadala ya TV1.Ikumbukwe kuwa Tv1 ilikua inyaonesha mashindano ya FIFA confideration Cup lkn kwa sasa hii chaneli haipo kwenye king'amuzi cha Azam na leo ni nusu fainali ya kwanza...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Usibweteke na uwepo wa Freemasons, wapo kila kona lakini hata hivyo vipo vikundi siri vingi sana visivyojulikana na tunaishi navyo kila siku....hawa ndio hatari zaidi kwani lengo lao ni baya na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Najua ilikuwa ni sherehe siku ya kuzinduliwa tovuti ya wananchi.go.tz. Lengo la tovuti hiyo lilikuwa ni kuwa mahali pa wananchi kutoa maoni na kufuatilia mambo mbalimbali. Bila ya shaka kuna mtu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Taarifa kwa kamanda wa usalama barabarani. Traffic Police wa Same, na leo walikuwa na gari lenye namba za usajili T353 BAJ wanawatoza faini madereva bila kuwa EFD risiti. Mheshimiwa rais...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Hata ukikata damu yangu ni lowassa tupu so Wanangu wa ukawa vidole viwili juu! ROMA MKATOLIKI kijana wa Simba. Miongoni mwa wasanii wachache wenye chembe ndogo ya unafiki, ama hana unafiki...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Matumizi ya vipimo vya DNA na fingerprint ni nadra sana kutumiwa na polisi ktk uchunguzi\ushahidi. Tafakari...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu HabariLeo; Monday,December 03, 2007 @00:04 MAKALI ya maisha kwa wananchi yanazidi kuongezeka kutokana na bei ya bidhaa mbalimbali kuzidi kuongezeka, hali inayoelezwa kuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
BAADHI YA KESI ZA KUSISIMUA (2005) 1. Mnamo tarehe 09/02/2005 huko uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar Es Salaam, Kikosi cha kuzuia dawa za kulevya kilichopo Dar Es Salaam kilimkamata...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau wa jf. Hii benki ya walimu imeshaanza kazi za kibenki au bado?, na kama bado nini kikwazo? Maana mara ya mwisho walitoa orodha ya wanahisa(walimu) walionunua hisa kwenye magazeti.
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Naomba kujua tu; Ni kiasi gani cha pesa mmepewa ili kuziba midomo yenu? Ni tsh ngapi mmepewa ili mnyamaze kabisa? Ni dola ngapi mmepata ili kupotezea maslahi na mambo yote yaliokanyagwa kuhusu...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom