Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Ichiro Aisawa, amesema nchi yake inahitajika kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kuboresha miundombinu ya Dar es Salaam baada ya kushuhudia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Taratibu za kisheria ziko wazi, kesi ikifikishwa mahakamani inapaswa kusikilizwa ndani ya siku 60 na kama kuna mahitaji ya siku zaidi utaratibu upo. Kesi ya wafuasi wa CUF wanaompinga mwenyekiti...
25 Reactions
81 Replies
9K Views
1. Angalia kisheria nani ana haki kati yako na serikali au wabomoaji. 2. Kama huna haki usihangaike kulia lia na kutueleza historia ya wewe kupata pesa za kujengea nyumba hiyo. Anza kubomoa kwa...
24 Reactions
66 Replies
7K Views
Naombeni uzi wangu usiunganishwe
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wananchi wanaodai fidia mgodi wa Acacia North Mara mchana huu waandamana kushinikiza malipo yao kutolewa, polisi wamewatawanya =================================================== Wananchi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Watoto watatu walionusurika kwenye ajali ya basi la wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent ambayo ilipoteza maisha ya wanafunzi 32, wanatarajia kurejea nchini August 18, 2017 baada ya kupatiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
JUKWAA LA WAHARIRI NI ZAIDI YA ULIJUAVYO Leo nimeona niseme HADHARANI, japo najua ntapingwa na KIKUNDI cha wachache ila WALIO wengi watanielewa, NATAKA kusema nikijuacho kuhusu JUKWAA LA...
11 Reactions
62 Replies
7K Views
Habari wadau, Nilimaliza bachelor ya Community Develepment 2012, then nikapata scholarship nikamaliza masters ya public management mwaka jana, wanasema kukaa uswahilin Ni kujifunza mengi, Kitaa...
26 Reactions
67 Replies
9K Views
Vyombo husika vichunguze jambo hili, mita zinauzwa HADHARANI bila kutoa rushwa hufungiwi umeme. Serekali ya wanyonge iko wapi mita za umeme madibila zimegeuka bidhaa kama karanga.wananchi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naangalia kipindi cha habari kutoka magazetini star Tv, kuna huyu dada anaesoma hizo habari hicho kimini alichokivaa na huo mguu slionao vinatufanya tushindwe kuzingatia habari. Mguu ni hatari...
4 Reactions
53 Replies
7K Views
Jana Clouds mwewe wao katuonesha jinsi barabara zetu zinavyoharibika kutokana na kupitishwa mzigo mzito..... nikawaza saaaaana hadi nikafika kwenye neno "hii nchi ni ya ajabu sana" yaani sijui...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Botswana, mmiliki wa Hoteli ya Peacock na Mkurugenzi Mstaafu wa BoT zilizopo Mbezi kubomolewa. --------- Nyumba tatu za vigogo zilizopo eneo la Mbezi...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari zenu, samahani nilituma email sehem ya maombi ya kazi sasa wamenijibu kua nimepata ila wanaomba niwatumie INTERNATIONAL CERTIFIED LOGIC ASSESSMENT AND PSYCHOMETRIC (ICLAP) Je nini hiyo...
0 Reactions
2 Replies
888 Views
Kuna ripoti kuwa wavuvi watatu wamepoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakitumia kuzama maji katika Ziwa Victoria. Watu hao ambao majina yao bado hayajajulikana, walikuwa wakivua samaki katika...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Tangu yametokea maafa ya mafuriko na kuua zaidi ya wananchi 300 katika nchi ya Sierra Leone Sijaona star hata mmoja wa kitanzania alietoa pole kwenye mtandao wake wa kijamii. Najua wengine...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
AFICHAYE DHAMBI ZAKE HATAFANIKIWA... mithali 28:13 Kuna Mchungaji mmoja hivi aliingia Bar na kuagiza Kilimanjaro baridiii, Wakati mhudumu anaekekea kaunta kuchukua kinywaji alichoagizwa na yule...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana jamvi nataka nijue kuhusu benk ya nmb ukiachilia tawi la mlimani city ni tawi gani linalofanya kazi j2?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau Mimi nimwenyeji kiasi hapa Arusha ila sijawahi ona sehemu ya fast food! Pengine sijatembea vya kutosha hivyo naomba wazoefu watufahamishe.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
✍️
4 Reactions
87 Replies
5K Views
Mbeya: Vigogo 6 kati ya 12 wanaotuhumiwa kwa ufisadi wa Soko la Kimataifa la Mwanjelwa wakiwemo Meya na DED wafikishwa kizimbani Nipashe
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom