Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,762
- 40,987
Najua ilikuwa ni sherehe siku ya kuzinduliwa tovuti ya wananchi.go.tz. Lengo la tovuti hiyo lilikuwa ni kuwa mahali pa wananchi kutoa maoni na kufuatilia mambo mbalimbali. Bila ya shaka kuna mtu alipewa tenda nzuri ya kutengeneza tovuti hiyo. Sasa miye niliuliza swali hili tangu Septemba hadi leo hii hakuna jibu la maana.. sasa najiuliza hivi kuna mtu ambaye amewahi kupata majibu kutoka kwa wahusika na ilichukua muda gani?
Ingia kwenye tovuti hiyo: www.wananchi.go.tz na kwenye "Fuatilia Majibu" Bonyeza hili: WLTUF0000
Ingia kwenye tovuti hiyo: www.wananchi.go.tz na kwenye "Fuatilia Majibu" Bonyeza hili: WLTUF0000