wasaa9
JF-Expert Member
- Jun 9, 2017
- 566
- 209
Wazir Wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba juzi alitembelea kituo cha polisi cha Mkalama,Singida kuangalia hali ya mazingira na utendaji kazi wa askari polisi.
Mkalama kama wilaya mpya iliyojengwa kutoka wilaya ya Ilamba ina mahabusu moja tu, ilihali wanawake wanaekwa mapokezi pia hali ya mazingira yasiyo ya kuridhisha ikiwa pamoja na uchakavu wa miundo mbinu aliyakuta kituo hapo.
Mwigulu alimuhakikishia OCD wamkalama john Ntilima crew nzima ya ulinzi na usalama kuwa atakutana na wenzake wizarani kupanga utaratibu wa kumalizia ujenzi wa vituo vyote vilivyokwama.
Chanzo: Mwananchi
Sent using Jamii Forums mobile app