Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unywaji wa soda ina hatari nyingi kwa afya. Je, kwa nini, we as responsible Tanzanians allow this poisonous liquid to be advertised and consumed so freely? Tafadhali toa maoni yako.
0 Reactions
34 Replies
12K Views
Habari waungwana, Binafsi huwa naamini TBC 1 na TBC Taifa huwa na vipindi vingi vizuri ukiacha habari na baadhi ya vipindi vya kisiasa ambayo bado inajadilika lakini pia kuwa chombo cha serikali...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Tani zaidi ya 200 za shehena ya ngozi za ng'ombe zimekosa soko katika masoko ya ndani na yale ya kimataifa kufuatia baadhi ya wafugaji waliopo katika maeneo tofauti ya mkoa wa Tanga kuwapiga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni siku ya tatu hii Sumatra wameondoa root ya Daladala za Mbezi-Muhimbili. Je! Wanamsaidia mwananchi wa kipato cha chini kwa hali hii?? Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
99 Replies
11K Views
Wakuu, poleni na kazi. Kwenye mihangaiko ya kutafuta mkate wa siku, ulishawahi kutapeliwa na mtu uso kwa uso mkiwa wote mnakabidhiana mali na pesa? Ulitapeliwa katika mazingira gani? Asante
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi ni kwa nini watu ktk third world wanaondoka kwao kwenda nchi zilizoendelea kama Ulaya, USA, Ujapani &Co. halafu wakifika huko wanalazimisha wakubalike na hata kudai haki ambazo nchi zao...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu hawa jamaa unashangaa asubuhi unaamka ndani peupeee Hebu tushirikishe wewe unatumia mbinu gani?
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Enzi zibadilike Mji umekuwa sana sasa tofauti na zamani Watu wamekuwa wengi mno kariakoo tofauti na zamani Hapo kwenye vikao vyenu kunakuwaga na watu Wema na wabaya mnakera wasiohusika. Vibaka...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ipo ktk uhakiki wa vyeti vya elimu kwa watumishi wa serikali ktk idara mbalimbali. Baada ya uhakiki kwa wafanyakazi, serikali kupitia taasisi zake na za elimu wapitie na huko kwenye...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Tabora. Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Nsimbo Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Deogratias Hanga amefikishwa Mahakama ya Hakimu wa Wilaya ya Tabora na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kesi ya Harbinder Seth na Rugemalira inaendelea leo Yaani wazee wamechoka. ==== Wafanyabiashara James Rugemarila na Singh Sethi warudishwa rumande hadi Agosti 31 mwaka huu baada ya kesi yao...
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Nasema Zanzibar pamoja na udogo wake wa uchache wa watu wake, Zanzibar ina jina kubwa duniani linalotokana na historia yake pamoja na makali ya historia yake, hatutakiwi kusahau historia hiyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika Tanzania ya leo tumefika mahali ambako maneno ‘ukweli’ na ‘uchochezi’ yanaonekana kama yana maana moja.Mwandishi wa habari na wa magazeti akiandika ukweli mtupu bila kupindisha anaangaliwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
[emoji288]
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nahisi wanaongezaga kama kilo mbili.. Ukienda kujipima unajiona uzito umeongezeka basi ukitoka pale umefurahii kuqa misosi infanya kazi yake. Nenda sasa kapimie hospitali unajikuta you weigh 2kg...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Nimengalia hii clip imenitoa machozi aise
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu kwa siku kama 2 hivi naota ndoto kwamba nna uwezo wa kukimbia sana Yani nakimbia kwa speed ya farasi na sijui wapi naelekea ghafla ndoto inakata Huwa nakimbia nakutana hadi na wanyama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kwa jinsi Dunia inavyoenda kwa kasi mpaka sasa haswa katika kitengo cha mawasiliano. Hakika tunaishi katika zama ambazo ukilinganisha na binadamu wa kale ni kama tunaishi peponi kila tufanyalo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Arusha, Kesi ya kughushi mukhtasari wa serikali ya mtaa wa Levolosi iliyofunguliwa na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kasulu ,Dahn Makanga dhidi ya Mathew Mollel inatarajiwa kuendelea kesho kwa...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Back
Top Bottom