Wadau wa jf.
Hii benki ya walimu imeshaanza kazi za kibenki au bado?, na kama bado nini kikwazo?
Maana mara ya mwisho walitoa orodha ya wanahisa(walimu) walionunua hisa kwenye magazeti.
Naomba kujua tu;
Ni kiasi gani cha pesa mmepewa ili kuziba midomo yenu?
Ni tsh ngapi mmepewa ili mnyamaze kabisa?
Ni dola ngapi mmepata ili kupotezea maslahi na mambo yote yaliokanyagwa kuhusu...
KIKAO CHA FAMILIA.
Na.
Uncle Kaso
___________
"Nimewaiteni wanangu, kwa mapenzi mujarabu niliyonayo kwenu". Baba alisema kwa sauti ya upole kabisa.
Wakati huo, mimi na Damary tulikuwa tumekaa...
Kila mwanaume aliyepo kwenye ndoa na tayari amebahatika kuwa na watoto hana budi kuhakiki familia yake:-
1.Mke ni halisi? (si feki).
2.Watoto ni wake? (hakuchakachuliwa).
Utaratibu wa uhakiki...
Mwenzio akinyolewa wewe tia maji nywele.
Watu wamelala usiku yakawakuta hayo. Maiti ni kwa mamia. Wanazikwa kwenye makaburi ya jumla jumla hawatambuliki.
Ifike hatua idara ya polisi mjitambue na mfanye kazi kwa ubora na ufanisi. Haiwezekani mtu umepotelewa na kitambulisho muhimu unahitaji uharaka kurudisha lakini vituo zaidi ya vitano mpaka central...
Jamani ndugu,
Nimeenda kuhakiki cheti cha kuzaliwa jijini Arusha nikakutana na mtumishi alioachiwa maagizo na mkuu kwamba baadhi ya vyeti ambavyo namba zake zimetumwa Dar es Salaaam hawawezi...
Gesti alimofia.
INASIKITISHA sana! Mwenyekiti wa Kijiji cha Mkamba Kata ya Kimanzichana mkoani Pwani aliyetambuliwa kwa jina moja la shabani anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 50...
Habari za kutwa mzima wanajamii kwa ujumla.
Naenda kwenye mada moja kwa moja, siku hizi kumezuka mtindo ambao haufarahishi sijui kama mimi peke yangu au na wengine.
Acha nijisemee mimi mwenyewe...
Nikiwa mwenyeji wa mkoa huu!! Nafaham machache kuhusiana na masoko ya mkoa huu kuungua moto. Huwa matukio ya moto kwa mkoa huu huleta mkanganyiko mkubwa sana . Ila unakosa wa kumuuliza. Hebu...
Unaweza soma kila aina ya mchepuo/taaluma lakini kama haujiamini wewe binafsi haitatokea kwako. Faith+ Hard work.. Ukiwa na imani unatarajia kuona future yako sababu imani ni hakika ya mambo...
Habari wana Jamii,
Kwa yeyote mwenye mapenzi mema ya kumtumikia Mungu kwa njia ya utoaji unakaribishwa kuchangia ununuzi wa vyombo vya kumsifu Mungu Keyboard. Kwa gharama ya Million 3. Kwa yeyote...
Barabara ya Ngokolo Shinyanga imezibwa na wananchi wakidai kuchoka na vumbi kali linalosababishwa na cement iliyomwagwa kujenga lami
------------
Mwenyekiti wa waandishi wa habari mkoa wa...
Wakazi wa manispaa ya Singida wapo hatarini kupatwa na magonjwa yatokananyo na kula Nyama kufuatia baadhi ya wauza nyama kuchinja Ng'ombe bila kupimwa na madaktari huku zikiwa zimehifadhiiwa...
Nchii hii imepigana sana mpaka sasa kuondoa ukabila; Naona sasa utandawazi unatutoa kwenye misingi ; Naomba mashirika ya umma yazuiwe kwa matangazo kama haya yenye viashiria vya ukabila
Salamu kwenu nyote.
Nadhani wengi tumekuwa tukishuhudia "video clips" zinazowaonesha watoto wanapokuwa wamekosea katika namna ambayo si ya kufundisha (mara nyingi zikiwa na mlengo wa...
Hello JF,
Wengi mnamshangaa Chid Benz kwa kurudia madawa ya kulevya, nahisi wengine hamfahamu, jinsi ilivyo ngumu kuacha kutumia.
Mgonjwa wakati anatibiwa, ingetafutwa nini causes and risk...
Habari JF! Rejea mada twaja "Tanzania ya viwanda haipatikani Udsm". Napenda tushirikishane tofauti kwa fikra pana kidogo, pengine uko chuo au unatarajia kwenda chuo ni vyema tukapeana tips baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.