Hata ukikata damu yangu ni Lowassa tupu

KING DUBU

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
919
1,239
Hata ukikata damu yangu ni lowassa tupu so Wanangu wa ukawa vidole viwili juu! ROMA MKATOLIKI kijana wa Simba. Miongoni mwa wasanii wachache wenye chembe ndogo ya unafiki, ama hana unafiki katika siasa anaamini katika mageuzi ya Kweli.

Kwa upeo wangu mdogo Namuunga mkono nikiamini kuwa kamwe Tanzania hatuwezi kuwa na Maendeleo yenye tija kwa wananchi kwa kukuiamini ccm. With a lot of reasons ni wazi kuwa ccm ni uozo.
 
Na ukikata kiuno ni lowasa tu siyo?
Kamwe bara letu halitaendelea mpaka leo unaangalia uchama tu kwani kunawaviongozi wangapi wa vyama vya upinzani je kwenye majimbo yao mapya yepi wamefanya?
Akili yako bado inahitaji malezi kipindi lowasa yupo ccm alikuwa nyoka leo ni malaika nafikiri nchi hii bado inahitaji waombezi ili ili tufumbuke.
Over!
 
Nyie ndio wajinga mnaoamini ccm imewazaa.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mimi sio damu tu kila kitu ni lowasa na ukawa tu
Hata ukikata damu yangu ni lowassa tupu so Wanangu wa ukawa vidole viwili juu! ROMA MKATOLIKI kijana wa Simba. Miongoni mwa wasanii wachache wenye chembe ndogo ya unafiki, ama hana unafiki katika siasa anaamini katika mageuzi ya Kweli.

Kwa upeo wangu mdogo Namuunga mkono nikiamini kuwa kamwe Tanzania hatuwezi kuwa na Maendeleo yenye tija kwa wananchi kwa kukuiamini ccm. With a lot of reasons ni wazi kuwa ccm ni uozo lakini pia wapinzani wanaotoka ccm ni uozo.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Fikira kama.zako zimefanya liccm.na linchi lao limekufa maskini miaka yote 50+
Na ukikata kiuno ni lowasa tu siyo?
Kamwe bara letu halitaendelea mpaka leo unaangalia uchama tu kwani kunawaviongozi wangapi wa vyama vya upinzani je kwenye majimbo yao mapya yepi wamefanya?
Akili yako bado inahitaji malezi kipindi lowasa yupo ccm alikuwa nyoka leo ni malaika nafikiri nchi hii bado inahitaji waombezi ili ili tufumbuke.
Over!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
With a lot of reasons ni wazi kuwa ccm ni uozo lakini pia wapinzani wanaotoka ccm ni uozo.
Hapo kwenye bold ndo umeongea nini?,Lowassa katoka CCM kwa hiyo ni UOZO?,huku una msupport Lowassa?,au ni vile viroba vilivyoruhusiwa viuzwe nje ya nchi umevibumia mahali..
 
Ccm ni chama chenye itikadi Mfu, huwezi linganisha na ukawa ndio maana wanajitekenya na kucheka wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ccm ni chama chenye itikadi Mfu, huwezi linganisha na ukawa ndio maana wanajitekenya na kucheka wenyewe.
Mkuu kukuweka wazi ni hivi.. Lowassa kajiunga CCM tangu mwaka 1977 na hajawahi ajiriwa sehemu yoyote tangu atoke chuo,anaitumikia CCM hata video ipo huku mwenyewe akitamka hivyo,baada ya kukatwa kwenye kugombea uraisi kupitia CCM mwaka juzi(2015) ndo akajiunga UKAWA,na nia sio kusaidia watanzania,nia ni kutimiza ndoto yake ya kuingia ikulu ili atupige vizuri.Sasa wewe unaamini huyo mtu ni CDM?,kabla hajaamia CDM ulikuwa una msupport?.,nijibu kwanza hilo
 
hahaha, jamaa ana maneno ya kibongo flava sana, utasikia ooh mie mziki upo damuni, ukinikata tu damu yangu inajiandika mziki
 
Back
Top Bottom