Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sasa watafiti wa macho wamekuja na tathmini yao kwamba, kadri siku zinavyosonga mbele katika miongo minne ijayo, idadi itakuwa mara tatu ya ilivyo sasa. Asasi ya afya iitwayo Lancet Global...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MEYA KINONDONI APELEKA MABILIONI KWA VIJANA NA MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM KATIKA kusaka njia sahihi za kupambana na changamoto ya uhaba wa ajira nchini, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Precision air wana route ya moja kwa moja mpaka mbugani serengeti mara nne kwa week, YES mara nne kwa week. WADAU is this not the right route for our national airline, ukizingatia nembo yetu ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Serikali imelipongeza shirika la utangazaji la Tanzania(TBC) kwa kuendelea kurusha matangazo mubashara katika ziara mbalimbali za viongozi hapa nchini ikiwemo ziara ya Rais wa Jamhuri Misri hapa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limepiga marufuku madereva pikipiki maarufu bodaboda kuwapakia watoto wenye umri chini ya miaka tisa Dereva yeyote atakayekiuka agizo hilo atakamatwa...
4 Reactions
58 Replies
9K Views
Ni usiku nacheki mechi hom lakini kwa sababu ya mbu nimechoma koili yangu inaungua taratibu huku ikitoa moshi wa kutosha lakini mbu nao bado wapo wamenizunguka kulia na kushoto na wanaongezeka...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Jengo la klabu ya Yanga jijini Dar linatarajiwa kupigwa mnada Agosti 19 kwa amri ya Mahakama baada ya kudaiwa kodi ya ardhi zaidi ya Sh300m.
1 Reactions
63 Replies
11K Views
Siku chache baada ya rais kufanya ziara mkoani Tabora alipoagiza uongozi kushirikiana na wananchi kuhakikisha wanapambana na uharifu na watu wanaotumia silaha za moto katika matukio hayo, baadhi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ready To come home! Watoto wetu Doreen, Sadia na Wilson sasa wako tayari kurejea nyumbani. Mungu awabariki wote kwa Sala na Dua zenu. Hakika Mungu akitaka kukubariki, hakuna awezaye kuzuia! Amani...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Kumekuwa na mtindo sasa hivi wa kucertify vyeti unapoomba ajira sehemu mbalimbali, juzi niliitwa kwenye interview wakati wanakagua vyeti vyangu wakaona cheti kimoja hakijawa certified na...
7 Reactions
65 Replies
12K Views
Experience ni kile unachopata baada ya kukosa kile unachotaka. Skills ni kile unachofanya kwa ufanisi bila kuwa na errors nyingi. So popote unapoenda wakakuomba uzoefu means wanataka ujuzi wako...
2 Reactions
0 Replies
608 Views
Huu ni unyanyasaji kwa wafanyabiashsra. Mliwalazimisha wanunue mashine za EFD kwa gharama kubwa. Hata aliyekua na biashara ya mtaji wa milioni 2 alilazimishwa kununua mashine ambayo haikupungua...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Huku Kitaani kwetu TABATA UBAYA UBAYA sahani inakwenda kwa bei ya Buku mpaka Buku na Mia Tano...
0 Reactions
47 Replies
12K Views
Mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine GGM kwa kushirikiana na halmashauri ya mji wa Geita umeanza mpango maalum wa kutatua changamoto ya maji inayowakabili wakazi wa eneo hilo kwa muda mrefu kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Lucky Vincent ya jijini hapa waliopelekwa Marekani kwa matibabu baada ya kuumia katika ajali iliyotokea Mei mwaka huu wanatarajiwa kurejea nchini kesho, lakini...
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Tokea JPM akabidhiwe nchi hatujamuona kwenda nchi za nje na kuomba misaada kama ilivyo kawaida ya mwenye shida,lakini hapo hapo wao ndo wanakuja na kutupia hio misaada hapa na isio na masharti,je...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Polisi ukamata silaha za moto zinazotumiwa na majambazi baadhi ya silaha hizo zinakuwa zimefutwa namba na zingine zinakuwa nazo. Ingekuwa vizuri polisi kutoa takwimu kwa zile silaha zinazokamatwa...
2 Reactions
6 Replies
812 Views
kwa halii hii viongozi wetu wa africa watakubali kuachia viti vyao kweli hii ni payroll ya mbunge wa uganda bwana Simeo Nsubuga payslip yake inaonesha total income ya sh33,288,000/ kwa mwezi -...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Serikali imetakiwa kutumia matokeo ya tafiti mbalimbali zinazofanywa na wasomi nchini hasa katika kipindi hiki ambacho taifa linajielekeza katika uchumi wa viwanda. Rai hiyo kwa Serikali...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Back
Top Bottom