Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Amani kwenu katika hii siku ya Bwana. Jamani tuwe wakweli kwa nafsi zetu kuhusu haya mambo mawili hapa,bila chuki wala hiyana. 1.Nyie wamatumbi na wakwere mnaoshupaza shingo humu jamvini kumtetea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Basi la Sai Baba linalotoka Dar - Mbeya limeanguka muda wa saa 1.50 usiku katikati ya Chimala na Igurusi. Bado haijafahamika kama kuna watu wamefariki. Lakini watu wengi wamejeruhiwa...
3 Reactions
9 Replies
6K Views
Naomba kujua tu kwa ujinga wangu:- - Executive arm inao wasemaji wake kwa masuala anuayi, toka Msemaji wa Ikulu hadi wizara, Idara na hata chama tawala, kwa maslahi ya Executive. - Ukija...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Wao wanasema wanatoa mikopo online, weka akiba na utapokea mara kumi ya ulichowekeza. 100,000/= utapokea mpaka 1,000,000/= jamani ndani ya 1hour unapata pesa yako tena hapo hapo ulipo kwa TIGO...
0 Reactions
74 Replies
50K Views
Wakati chadema wakipigania demokrasia na kulalama kuwa CCM ina udikteta lakini ndani ya chama hicho kuna makada wanaofikiria kinyume.Kuna wengine wanampigania Gaddafi.Kuna posts nimeziona zenye...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Unajikuta stimu zimekata pale mnapoweka commercial break, Lile lisauti (in most of them) kwa kweli halikidhi vigezo vya redio ya kikristo. Ubabe sii ubabe, ukorofi si ukorofi, ni kama vile...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhaj Mussa Salum amesema taasisi iliyokusanya fedha kwa waumini wapatao 100 na kushindwa kuwasafirisha kwenda hija, isakwe na kuchukuliwa hatua za kisheria...
0 Reactions
99 Replies
10K Views
Baada ya kelele nyingi kuhusu ubia wake na kampuni tata ya uwakili ywnye kuhusishwa na ufisadi mkubwa hapa nchini RJK aliamua kujiunga na kampuni hii ya GRK kama mbia(partner) hii ni kampuni ya...
9 Reactions
210 Replies
36K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nauliza kama hiyo huduma inapatikana Tz, na je ofisi zao ziko wapi?
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ninauliza Nani Kaiweka Nchi ya TANZANIA Rehani?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
DODOSO LA MGENI: JE, NI SAHIHI KUUZA FEDHA KAMA CHENCHI Tz!? Habarini waungwana wa JF?, natumani mu wazima wa afya, kwa ndugu zangu wagonjwa poleni na Mungu awaponye. Bila kupoteza muda niruke...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwl Mkuu shule ya msingi Ipeja wilaya ya Kaliua na mtendaji wa kijiji waomba na kupokea rushwa ya sh.mil moja kutoka kwa mzazi wa mtoto anayeitwa YUNGE JAGINA MADOGOSA,ambaye ana mimba na ni...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hi Jf.Jana jumamosi shirika moja lilifadhili mtihani wa interview ya ukalimani huko kilindi mabalanga.Mzungu alitaka mkalimani katika shirika lake LA upandaji miti akakusanya vijana akawapa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TANZANIA YETU HIVI SASA IMEINGILIWA NA WAVAMIZI WANAOTAFUTA KUHODHI UCHUMI NA RASILIMALI ZETU KWA KUSHIRIKIANA NA WANASIASA NA WANASHERIA "PUPPETS" WASIO NA MAPENZI MEMA NA NCHI HII. Watu hawa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Halmashauri ya serikali ya kijiji cha Semeni kata ya Mtina wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma,imemkataa na imeazimia kumfukuza kazi afisa mtendaji wa kijiji hicho Bwana.Edwin Mlanda na kupeleka...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Shule ya msingi Mlimwa B iliyoko manispaa ya Dodoma haina ofisi za walimu huku zaidi ya walimu 30 wakilazimika kugeuza madarasa kuwa sehemu ya kufanyia kazi zao hali inayowaondolea umakini kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Kwa sasa naishi Dar lakini ndoto yangu ni kwenda kuishi Mbeya na kufanya kazi ndani ya NGO zilizopo mkoani Mbeya kwa mwenye information ya majina na idadi za NGO zilizopo Mbeya. Naomba...
1 Reactions
20 Replies
12K Views
Wakati wa kukukamata au ukifikishwa kituoni polisi huwa wana maneno mabovu sana... Utasikia "wewe unajidai wakati ni mfanyakazi wa Mwananchi Comnunications..." Au unafikiri kwa kuwa wewe ni...
6 Reactions
63 Replies
5K Views
Hello Wakuu ndani ya GT ni Jumapili moja maridhawa kabisa pengine ya mwisho kabisa kwa mwezi huu August... Wakuu awali ya yote Mimi sio mwanasheria sisomi sheria na wala sina interest na sijawahi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom