*stress ni nini?*
*Ni pale alikiba anapotoa seduce me, afu wasafi wanaizima na kuipoteza kabisaa na ngoma kali ya zilipendwa*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#WCBFORLIFE
Team Nyumbu ruksaa povuu
Am just watching the hot discusion of supreme court of kenya on issue of presidential election but am confusing why the lawyers of elector commision are afraiding or they dont like their system...
Wakuu nina bonge la uzi ila nikirusha itajulikana ni mimi nimetoa. Je kuna uwezekano nikampa mtu arushe badala yangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetembea Kwa Masonara Wanasema Kopa Haiyeyuki. Labda Hawana Vifaa Vya Kuyeyushia. Nilinunua Bangili Kwa Masai Sasa Nataka Nitengeneze Pete Fulani Hivi Ya Kidini. Wapi Naenda?
Lowassa ni mwanasiasa mkongwe na ametumikia taifa katika nyadhifa mbali mbali na baadae kuamia chama cha CHADEMA ili agombee urais.
Namtakia maisha mema. Chukua fursa hii kumpa neno walau moja...
Habari zilizopo ni kwamba serikali imelipwa jumla ya Tsh Bilioni 19.5 kamili kama gawio/rejesho lake toka bank ya CRDB... Pesa hiyo serikali iliipa bank hiyo mwaka 1994 ili kuinisuru isifilisike...
kwanza niweke tahadhari ya picha! Baadhi zitakuwa zinatisha
Inteligensia ya imani ya dini ni dhana ya kushangaza mno, pengine baadhi ya maono na mitazamo yake vinaacha maswali mengi kuliko majibu...
Hapa nacheki mahakama ya rufaa kenya live, hvi mahakama zetu zinaweza jifunza toka kenya kuweka mambo live ITV TBC na zinginezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
habari wadau..
nikikumbuka mhongo alivyokuwa anatamba na kuringa baada ya kupewa uwaziri wa nishati..
nimejifunza ringa ukiwa na ajira ya kwako mwenyewe ila hizi za kuajiriwa inabidi uwe na...
$40m for Dar civil service monitoring project
BY JOSEPH MWAMUNYANGE
Special Correspondent
THE EAST AFRICAN
Officials from Tanzanian ministries, departments and agencies are to be...
Aisee sasa nmekubali moto wa kiba ni hatari, Mondi kaona peke yake hatamshinda, baada ya alikiba kutoa nyimbo ambayo hadhi yake siyo ya nchi hii inayoenda kwa jina la Seduse me sasa team nzima ya...
Wakuu,
Ningependa kuchuma fedha kidogo kutoka katika bifu hili la hizi team mbili kwa kuandaa show itakayowaleta pamoja hawa ili washindane katika kuimba nyimbo za idols wao huku nikicharge pesa...
Wakuu Salaam sanaa bhana hawa jamaa wakati wanaanza waliturubuni sanaa natukaona hapa tumepata suluisho la matatizo yetu ktk mitandao
Lakini kadri siku zinavyo songa mbele wamelewa sifa na...
Habari wanajamvi, napenda kukuri kuwa mimi sio mwandishi sana kwenye majukwaa haya ya JF na pia tokea utawala huu uingie madarakani sijaandika kwa kushauri ama kukosoa kwa jambo lolote lile.
Mimi...
Wadau nianze na salaam kwenu wote! Tangu nimalize chuo cha Madini mwaka 2015 nimekuwa muhanga wa janga la ajira hivyo nikajichanganya sana kwenye machimbo madogo ya dhahabu na Mali za kijerumani...
Nashangaaa sana watu wa afya manispaaa Kinondonii wanafanyaa ninii hivi mshawahi pita hii bar iko mkwajuni maseo bar
Chafu chafu na hatare kwa afya ya binadamu sanaaaa sanaaa
Vyooo vimeja\...
Tundu Lisu ni mpinzani. Mpinzani halisi. Ninaamini hata ikitokea CHADEMA ikaingia madarakani ataendelea kuwa mpinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuwa ni tabia ya wastaafu wanaolipwa pension kupitia posta Ilala Amana kucheleweshewa malipo yao bila ya kuambiwa sababu. Makubaliano ya awali na NSSF ilikuwa malipo yatakuwa tarehe 25 ya kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.