Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 198
Hi Jf.Jana jumamosi shirika moja lilifadhili mtihani wa interview ya ukalimani huko kilindi mabalanga.Mzungu alitaka mkalimani katika shirika lake LA upandaji miti akakusanya vijana akawapa mtihani wa English.Alivyotoka nje akachungulia dirishani akawadaka waliokuwa wanachabo interview ikaahirishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app