NGO zilizo Mbeya

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
296
181
Wakuu,

Kwa sasa naishi Dar lakini ndoto yangu ni kwenda kuishi Mbeya na kufanya kazi ndani ya NGO zilizopo mkoani Mbeya kwa mwenye information ya majina na idadi za NGO zilizopo Mbeya.

Naomba msada wenu
 
Taaluma yako ni ipi na unataka kufanya kazi katika NGO inayojishughulisha na mambo gani? kazi sio lazima ukafanyie kwenye NGO tu
 
Express yourself mkuu.Ngo nyigi zinafanya kazi nchi nzima .Tafuta international Ngo uwaambie matamanio yako watakusaidia.Local Ngo hazina issue nyingi ni hewa.Pia jifunze kujieleza kwa kikamilifu.Mimi ni HR by professional kwa maelezo yako nsingeweza kukupa kazi hata ya kujitolea.
 
Japo ni Moro ila ngoja nikutajie local NGO zilizopo mbeya
1.NICE iko ilomba mbeya
2. KIHUMBE-sinde karibia na sangu sec
3. Kiwodela-kyela
4.KIWAHUTA-MBarali
5. Oak Tree Tanzania-Rrm
6.MBEYA HIV NETWORK-rrm
7. PvT-
 
Ongezea hizi nyingine ambazo International
1.waterreed
2.Pact tanzania
3.Jhpiego
4.Restless development
5.Aghakhan
6. Nimr
7.
Na mengine mengi siwezi kuyamaliza saiz kwanza nipige kazi za watu hizi
 
Ongezea hizi nyingine ambazo International
1.waterreed
2.Pact tanzania
3.Jhpiego
4.Restless development
5.Aghakhan
6. Nimr
7.
Na mengine mengi siwezi kuyamaliza saiz kwanza nipige kazi za watu hizi

Leo ndo nimeelewa kuwa NIMR ni NGO.

Nilikuwa sijui kabisa
Ahsante kwa kunielewesha
 
Back
Top Bottom